Mh zito kabwe akatwa nywele nusu kichwa baada ya umeme kukatika

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Haaaa haaa kumbe na wao inawakumbuka niko kuelekea nyumban nasikia clouds fm wanasema mh zitto kabwe
amekatwa nywelenusu kichwa baada ya umeme kukatika na baada ya hapo ilibdi msamaria mmoja amsaidie
kumpa kofia kumsitir mpaka atakapopata sehemu za umeeme
pole sana mh zito ndio nchi yenu natumain kelele zenu azitotoka bure tumalize haya matatizo
 
Back
Top Bottom