Mh. Waziri Mkuu Pinda ni KIGEUGEU?

Simpendi mtu anaelia lia ovyoo tu alafu ni mtu mzima.huyo ni mdanganyifu tu,kama alivyo mbayuwayu aka zee la anga.
 
Mh. Pinda kageuka tena sasa hivi bungeni kuhusu kauli yake ya kubana matumizi ili kusaidia bajeti ya nishati na madini. Kigeugeu 100%
 
acheni ushabiki na upenzi wa chama mpaka mnakua hamtumii akili kufakiri!!,ili MH PINDA awe kigeugeu, kuna ushahidi gani kama MH PINDa na MH MBOWE walikuwa na muafaka/makubaliano ktk umeya wa ARUSHA, na hayo makubaliano kamati kuu ya CDM ILI YAKUBALI LINI?.....MMEWAFUKUZA MADIWANI KWA KOSA LIPI? IKIWA KIONGOZ MKUU WA CDM ndio zake kuingia mkubaliano kinyemela, .... tena yaye akikutembelea tu mmekubaliana!!.
 
acheni ushabiki na upenzi wa chama mpaka mnakua hamtumii akili kufakiri!!,ili MH PINDA awe kigeugeu, kuna ushahidi gani kama MH PINDa na MH MBOWE walikuwa na muafaka/makubaliano ktk umeya wa ARUSHA, na hayo makubaliano kamati kuu ya CDM ILI YAKUBALI LINI?.....MMEWAFUKUZA MADIWANI KWA KOSA LIPI? IKIWA KIONGOZ MKUU WA CDM ndio zake kuingia mkubaliano kinyemela, .... tena yaye akikutembelea tu mmekubaliana!!.

Kaka, tumia staha basi kuelimisha watu. maneno makali hayasaidii sana sana
utazua zogo humu JF. Unaposema wamewafukuza madiwani, wao kina nani na
wewe ni nani? Kama wanaendekeza itikadi hata wewe unajibu kiitikadi vilevile,
this site is for great thinkers, isn't for insane.
 
Tusubiri tena kigeugeu cha mh. PM wetu leo asubuhi mjengoni, wakati waheshimiwa wabunge wanapojadili bajeti ya wizara ya nishati na madini.


Mkuu, nahisi alisoma hii thread hapa jamvini, taarifa zilizopo hawa jamaa huwa wanasoma maoni yetu....!
maana leo mjengoni muda c mrefu uliyopita alipopewa nafasi na mama mjengo, alikuwa makini sana...
Ile kauli ya Mh Mbowe kwa kushindwa kushirikisha kamati ya kadumu ya uchumi ya bunge ktk utafutaji fedha za dharura ya umeme ilimkata kiaina, maana aliahidi Govt kushirikiana na kamati ya bunge, but they didnt..!
 
Mods turudishieni kitufe cha thanks niwagongee jamaa waliochangia hapo juu. Yote kwa yote, nawashukuru sana kwa uaminifu wenu katika kuitakia mema nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
 
huyu mzee akifika 2015 salama inabidi ashukuru sana , upepo wa kisiasa unampeleka pabaya haswa, soon enough imani ya
wananchi wengi kwake itashuka sana
 
Pinda kwa kweli c tu diplomatic nahic ni mchungaj pia by talent ya dini ya asili huwez kuwj mpole kiasi hichi halafu watu hawakuambii
 
Jana mh.Pinda kaambiwa na mh.Makinda aache kuongea ovyo na wabunge wakati bunge linaendelea, amemtaka awe makini kusikiliza mijadala inayochangiwa. Huyu mama spika naye anajiamini siku hizi, we acha tu.
 
<br />
<br />
kudos nngu007 kwa hili maana hawa jamaa kuanzia mkuu wa kaya mpaka vijakazi wake nivigeugeu wananigeukia..
wanasiasa wetu nivigeugeu wananigeukia..[/QUOTE



NI KWANINI UUME MANENO?

HUO NI MFUMO WA CHAMA CHA MAGAMBA
ILI UWE KIONGOZI LAZIMA UWE MUONGO,MWIZI,MNAFIKI,USIWE NA HURUMA NA WADANGANYIKA SAMAHANI WATANZAGIZA.

HUU UONGOZI ULIOKO MADARAKANI NI MZIGO MKUBWA KWA WALALA GIZANI.
NI KUANZIA KIRANJA MPAKA WA MWISHO HATUWAFAI HATA BURE
 
By the way mkutano kati ya Pinda na Mbowe na slaa haukuwa/haukustahili kuwa trated confidential no need for the third part to know?
So now i realise that 3rd parts are more dangerous than.
 
Bungeni sasa hivi: mh.Pinda analia "...mimi leo kulima kwa kampuni imekuwa nongwa? Mbona kwenu mnalima miwa, mnapanda miti, eeh? Mkoa wangu unalisha nchi nzima lakini lami ni kilometa 12 tu, tuacheni na sisi tuendelee, alaa!"
 
kama nyerere angefufuka leo hii na kuu kuta uozo huu naofanywa na kina mbayuwayu na kalialia,angekufa tena kwa presha siku hiyo hiyo. Egotism aka umimi ism umezidi ndani ya chama cha magamba.
 
Back
Top Bottom