Mh waziri mkuu embu paka rangi nyumba ya wazazi wetu bana inatutia aibu ..

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,017
MH WAZIRI MKUU EMBU KAPIGE RANGI NYUMBA BANA USITUMIE UCHAKAVU WA NYUMBA YA WAZAZI WETU UKIONDOKA UDAI UKUCHUKUA KITU SIO SOLN BANA WENGINE TUNAPATA KIDOGO TUNATENGENEZA KWETU KIJIJINI NINI WEWE BANA
MH WAZAZI WA WAZIRI MKUU PINDA BABA NA MAMA MIZENGO WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA NA MH ENG MATOMATO

download+(13).jpg
 
Akipaka rangi haita fanana na nyumba ya mkulima.
 
Akipaka rangi haita fanana na nyumba ya mkulima.

Ni mwaka mmoja tu umepita tangu uchaguzi mkuu ufanyike, wangekusanya makaratasi ya matangazo ya kampeni yangetosha kubandika kuta hizo kna kuonekana kama mpya na kutangaza uccm
 
Akipaka rangi haita fanana na nyumba ya mkulima.

mkulima wa wawapi huyu tapeli tu anatetea lakimbili kama amezaliwa masakimajuzi nimeshtuka kweli ati anasema maisha yake mengi kalia ikulu tangu akiwa mdogo sasa ukulima na ikulu wapi na wapi
 
Kumbe ni kweli watu wanavyo sema mkiishi pamoja kwa muda mrefu huwa mnafanana sura.
 
huyu jamaa mnaweza kumuona wa maana kumbe anaishit familia yake mi nimeona wakurugenzi jamani wengi tu dar

mamanager ukienda vijijini kwao unaweza funga macho ni aibu kabisa angekuwa tanga ningemuwelewa kwa nini apendezeshi sasa sijui anasemaje huko kwao..pinda chukua ushauri weka hata magazeti basi
 
Delegate uko wapi tuambia,je hizi sura zina fanana na wa Amerika weusi?Tupe jibu haraka.
 
Akipaka rangi haita fanana na nyumba ya mkulima.

Au huyu jamaa ni mwanga nn, utadhani wale matajiri uchwala wa mtaani wanaoenda kwa waganga na kupewa pesa za mazingaombwe kisha marufuku kuvaa viatu.!
 
Back
Top Bottom