Mh.Waziri Masha HAJUI idadi ya magereza Tanzania

Kuna umuhimu raisi Kikwete kujua Tanzania ina mikoa mingapi? Ndio au hapana?

huo mfano wakujua idadi ya mikoa ya tanzania na idadi ya magereza haifanani, tafuta mfano mwingine.

Nyani ngabu, unajua Tz ina mikoa mingapi? Kama jibu ni ndio, itaje. Be frank, usigoogle.
 
huo mfano wakujua idadi ya mikoa ya tanzania na idadi ya magereza haifanani, tafuta mfano mwingine.

Nyani ngabu, unajua Tz ina mikoa mingapi? Kama jibu ni ndio, itaje. Be frank, usigoogle.

Kuna umuhimu raisi kujua baraza lake la mawaziri lina wizara ngapi?

Hilo la mikoa sitalijibu kwa sababu halitathibitisha chochote kwani hutaweza kujua kama nimegugo au la.....
 
Mi nawashangaa wale wanaoiponda clouds fm kuwa ni redio ya kipambe. Wanaisakama tu. Inajaribu sana kuweka mambo mengi hadharani ikiwa ni pamoja na kuweka wazi udhaifu wa viongozi kama hivyo
 
Kuna umuhimu raisi kujua baraza lake la mawaziri lina wizara ngapi?

Hilo la mikoa sitalijibu kwa sababu halitathibitisha chochote kwani hutaweza kujua kama nimegugo au la.....

Raisi hawezi kujua baraza la mawaziri kabla hujajua kuwa anataka awe na wizara ngapi na kwa nini awe na hizo wizara.

I mean, kuna mambo mengi ya kufanya kabla ya kujua idadi ya wizara na ukubwa wa baraza la mawaziri, mfano what are the driving forces kuunda wizara, what are the objectives( and objectives must be SMART), what are the strategies to make sure the objectives are met, what will be the eveluation procedure to make sure that the ministry successfully fulfilled the objectives, what are the risks involved, who is the best person to be a minister, why is he the best. What process to be follwed to make sure that the best minister is appointed.

Baada ya kujua hayo yote, then atajua baraza la mawaziri, na litakuwa na wizara ngapi.

Pamoja na kukupa hayo yote, mfano wa rais na baraza la mawaziri ni incomparable na waziri Masha kutokufahamu off his head kwamba kuna magereza mangapi Tanzania.
 
There is no sugar coating on this wandugu.This masha kid kachemka.Jukumu lake kama waziri anayesimamia idara ya magereza alitakiwa ajue kuna magereza mangapi.No more dicussion.
Kutokujua kwake idadi ya magereza ni sawa na

  • Mwalimu mkuu kutokujua idadi ya wanafunzi shuleni kwake,
  • Monitor/mwalimu wa darasa kutokujua idadi ya wanafunzi darasani kwake
  • Mkuu wa chuo kutokujua idadi ya faculty kwenye chuo chake
  • mmachinga kutokujua thamani ya stock aliyonunua/anayouza
  • Mjenzi/architect kutokujua idadi ya floor ya jengo analojenga
  • Baba/mama kutokujua idadi ya watoto alionao
  • kocha wa basketball kutokujua idadi ya vikapu walivyofungwa/funga
  • Dereva kutokujua idadi ya abiria kwenye chombo chake cha usafiri
Jambo la ajabu hivyo vyote vinatokea Tanzania/duniani, na kuna jina moja la pamoja tunaloweza kuwapa wahusika wote hapo juu nalo ni "IRRESPONSIBLE"

huyu masha naona Masihara yamezidi,maana the fact kwamba ameitwa kwenye interview redioni alitakiwa afanye homework,vitu vidoo kama hivyo alitakiwa avi-update na viwe in sync na mtiririko wake wa mawazo.

Hii inaonesha ni jinsi gani viongozi wetu ni wakurupukaji,wasiopenda kusoma,kutafiti..,

swali la kizushi kwa JF leaders?

  • JF ilipata hits ngapi mwezi uliopita?
  • JF inajumla ya sub-forum ngapi?
nina uhakika hayo maswali invisible na wenzake hata nikiwatoa usingizini watakuwa wanayafahamu majibu yake...,unless
 
Kwa nini unamsema vibaya huyu Waziri ambaye ni mchapa kazi? Katika ule mkutano wa vijana uliofanyika majuzi hapa Dar es Salaam,ule mkutano uliokuwa unakwenda sambamba na mkutano wa World Economic Forum for Africa,hakuna kijana mwingine yoyote aliyejitokeza kushiriki kutoka Tanzania,isipokuwa huyu kijana Waziri Leonard Masha.
 
Clouds FM,

Inawafanya watu waanze kubishana kuhusu trivial prison accounting questions badala ya core issues.

Sasa baada ya mkuu kushindwa kujibu hili aliulizwa nini cha msingi? assuming that this was a starter question.

Au hili ndilo lilikuwa swali la msingi? Katika attempt ya kumpa Waziri softball questions wakakuta Waziri hajui idadi ya magereza.

Ndiyo maana wengine tushaapa hatuwezi kujiingiza kwenye siasa.Mie Waziri mzima muende kunifanya shopkeeper natembea na namba za kila kitu kichwani, upuuzi gani huu.
Kiranga,
ama kweli una kiranga, hivi unahisi kila siku asubuhi na jioni waziri masha anatakiwa asome daily report ipi?
miongoni mwa routine reports za nyadhifa ya uwaziri ni kujua securitty status za nchi,daily ,weekly status za magereza,police na jeshi la fire ,sasa kama angekuwa anafanya kazi hzi angekuwa anarough idea magereza yapo mangapi,na isitoshe yeye anapitia website ya wizara yake pia angeweza kujua kuwa ana magereza mangapi.
nafasi ya uwaziri huwa haipo bize kama nafasi ya katibu mkuu wa wizara.sasa akiwa kama waziri ubize huwa ni kutembelea sehemu mbali mbali nchini na kutimiza ilani za chama .ie CCM .je katika hizi ziara zake alishindwa kujua kila mkoa una magereza mangapi?
usimtetee waziri kutojua hizi habari,na si ajabu wewe ushakimbia nchi unaishi utumwani uk,usa,australia holland or canada as a Free Slave,(siyo wote walio ughaibuni ni free slaves ila majority are)
kama upo bongo then fungua macho uone :A S tongue:
 
Kama ungejua details na data zinazolundikana katika hizi reports wala usingemlaumu waziri kwa kutokuwa na detail kichwani wakati washakuwekea kwenye website.

Na hiyo habari ya mimi kuwa slave did you really have to be that classless? That low?

I will not even dignify that parochial mindset inspired non-comment with a reply.

Don't make me do it, I always overdo it. Shauri yako.
 
maybe its time to close huu mjadala, my shock of that interview ni jinsi gani waziri hajui ana idadi ngapi za magereza chini yake ukizingatia mwezi huu ndo mwezi wa BAJETI ya TANZANIA bungeni,unapoandika bajeti kuomba pesa zipitishwe bungeni unajenga hoja na unatumia numbers kujua idadi ya magereza na mahitaji yake,kwa hiyo hii taarifa anakuwa ameisoma(kama anazisoma)muda si mrefu akiwa anajiandaa kwenda bungeni :).
let us wish masha all the best katika uchaguzi ujao,ila naomba wasaidizi wa JK wamshike sikio ili 2011 asimpe wizara nyeti like mambo ya ndani,ate least ampe some light ministry or amtengenezee wizara ya Starehe and KUNETWORK hapo tunajua at outperform mawaziri wote
 
Ila. Wangemuuliza kampuni zilizomba tenda ya vitambulisho vya taifa angetaja bila wasiswasi bana,kwenye mambo yenye hulua ah ni rahisi kwani kila kitu hujua kwa ajili ya masilahi binafsi sasa magereza yananini jamani,naona Mwl wao wa semina elekezi zitolewazo pale Ngurudoto wanafunzi wake hawaelewi sijui tatizo ni mwalimu au wanafunzi?ngoja nimwambie mwl skwearuti. Amsaidie mwalimu semina endelezi
 
Hata mimi hawaniridhishi, lakini let's talk strategy and policy, instead of the myopic smallmindedness of number cramming.
wataalamu wa sayansi ya Hisabati wanafahamu kuwa kabla ya kujua vizuri hisabati ni lazima mtu ajizoeze kukariri namba,tarakimu,mbinu,njia za ufumbuzi wa mafumbo ya hisabati na ndiyo hatimaye atakuwa gwiji wa hisabati. Na ndiyo maana watoto huzowezwa kukariri namba kwa sauti.

Pia sielewe kwa nini una Kiranga cha kumtetea sana Masha katika swala hili ambalo ki uhakika kabisa amechemsha. Kama mambo ya msingi kama idadi ya magereza hajui, atajiridhishaje akiletewa bajeti ya kukarabati magereza 200 kama hana hakika hasa yako 200 kweli au 180??
 
kiranga kinawasha,:A S-eek:
 
Back
Top Bottom