Mh wazee wengine bana

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
mzee.jpg

Mh!!!
 
..Mzee lazima atakuwa amepandwa na handasi huyo anatafuta maeneo yenye network.
 
Picha ingesogea karibu ungekuta na kasuruali kametuna kidogo lol
 
Nimecheka sana, hiyo picha ina interpretation nyingi tu! LOL!

MNATAKA KUSEMA mzee kajisahau anafikiri ataona kitu kwa mbele?
 
Mzee just anaangalia fremu ya picha kama ni ya mninga au msonobari.
 
huyu mzee anafaa sana huyu!
anataka kuona huyu demu anaficha nn? kwani cha kwake kikoje?
 
Back
Top Bottom