Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

hizi takwimu kwakeri sijui chanzo chake ni kipi...ira nataka kupekua kwenye mafairi yangu ya wizara ya mahusioano na mapenzi, nafikiri ni ile sensa ya zamani za kare kabra sijakuwa wazir....
Harroo! Unareta utani? Nitamwita afande chacha akuarest sasa hivi!
 
Psychologically speaking, wanawake ni tofauti sana na sie wanaume. Mwanamke anatawaliwa na hisia na sie tunatawaliwa na vitendo. Mwanamke kabla ya kuolewa anakuwa ameshajijengea hisia fulani kama siku nikiolewa nitafanya hivi, ama nikiwa na mume wangu nitafanya hivi. Mwanamke ki wastani, anapenda kwa dhati na akikupenda hata pia unaweza sema ni kero but that's how they are. Sie mijibaba.....ngoja nikohoe kidogo.....ahha ahhhh ahhhh! baadhi yetu tunajuwa kupenda kama kina mama wapendavyo ila tukishapata tu kitumbua tunawaza kulala na marafiki za wake zetu, majirani, mama ntilie fulani, mashemeji zetu, yaani kwa kifupi tupo hovyo katika suala zima la mapenzi na ndiyo maana hata waislam wakahalalisha umalaya kwa mwanamme kuoa wake zaidi ya mmoja ili kuondoa lawama japo haisaidii chochote. So kwa kifupi, mwanamke (wenye roho nyepesi) anapoona malengo yake hayajatimia au la ananyanyaswa na yule ampendaye kwa maudhi ya kila siku bila kujirekebisha anajitoa roho. I love you ladies ila poleni for manyanyaso.
 
Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?

Psychologically speaking, wanawake ni tofauti sana na sie wanaume. Mwanamke anatawaliwa na hisia na sie tunatawaliwa na vitendo. Mwanamke kabla ya kuolewa anakuwa ameshajijengea hisia fulani kama siku nikiolewa nitafanya hivi, ama nikiwa na mume wangu nitafanya hivi. Mwanamke ki wastani, anapenda kwa dhati na akikupenda hata pia unaweza sema ni kero but that's how they are. Sie mijibaba.....ngoja nikohoe kidogo.....ahha ahhhh ahhhh! baadhi yetu tunajuwa kupenda kama kina mama wapendavyo ila tukishapata tu kitumbua tunawaza kulala na marafiki za wake zetu, majirani, mama ntilie fulani, mashemeji zetu, yaani kwa kifupi tupo hovyo katika suala zima la mapenzi na ndiyo maana hata waislam wakahalalisha umalaya kwa mwanamme kuoa wake zaidi ya mmoja ili kuondoa lawama japo haisaidii chochote. So kwa kifupi, mwanamke (wenye roho nyepesi) anapoona malengo yake hayajatimia au la ananyanyaswa na yule ampendaye kwa maudhi ya kila siku bila kujirekebisha anajitoa roho. I love you ladies ila poleni for manyanyaso.
 
Haiwezekani hizo zikawa ni takwimu za Tanzania, we unalako jambo tu, ushindwe!
SWALI: Je, kalibu kila bango la mganga wa kienyeji laonyesha "Tunatibu matatizo ya nguvu za kiume" hilo nalo laonyesha dalili gani kwa wanaume?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom