Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

stephot,uko sawa ila main ya point sio hayo uliyosema ila ni sintofaham ya wanawake kwenye matatizo hayo.Rudia thread upya!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake asilia wanapaswa kuandaliwa katika tendo la ndoa iliwalifurahie. Ni Mwanamme ndiyo mwenye wajibu huo na si vinginevyo. Mume aliyefundwa na kujibidisha namna ya kusisimua mke ndoa haina tabu. mume anapaswa kumstadi mke speed yake ya kuelekea kileleni na hivyo amsubiri . TATIZO WANAUME WENGI WABINAFSI HUTAKA KUFURAHIA PEKE YAKE WENGI HAWANA MPANGO WA KUJUA HAYO- TATIZO NI MFUMO DUME.
wanakula chips mayai mno na hizi net za bush sijui....kimoja tena fastafasta mtu chali ..kazi ipo
 
wamelaaniwa, wivu wao utakuwa kwa wanaume tangu siku ile walipokula tunda la katikati ya bustani....laana yao ilikuwa ni kuwa na wivu sana kwa wanaume ndo maana wanaenda hadi kwa kigagula, achilia ile ya kuzaa kwa uchungu.
 
wanaume ndo hawawafikishi kileleni wake/wapenzi wao, mbona wanawake wanawafikisha wanaume kileleni hata dk 5 ni nyingi? ina maana kwamba wanaume hawajui mapenzi.:A S-heart-2:
 
Vaislay,sio yangu ilitoka kwenye gazeti la citizen!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna percentage inayonigusa hapo nimepita tu kuangalia wasemayo walengwa..
 
Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!
Eiyer swali lako au mshangao wako ni wa haki kabisa lakini pia tukumbuke kuwa hakuna shule inayofundisha juu ya kuridhika au kutoridhika na tendo. Hata biology tufundishwayo mashuleni twafundishwa juu ya reproductive issues ambazo huexplain tendo lile kama ni la kureproduce offsprings tu i.e. kwa kazi maalumu ya mwanaume kutoa mbegu na mwanamke kuconceive.......... maswala ya kufika au kutokufika kibo huwa hata hatuyajua! Wanawake wanaojua juu ya kilele nadhani (I stand to be corrected) ni wale ambao wamesoma kwenye mainternet na watoto wa kileo otherwise wengi wetu sie (tulofunzwa na wakunga_ swala la mwanamke kuenjoy, achilia mbali kufikishwa halipo na ndio maana wengi wetu tulifunzwa juu ya kukatika viuno juu ya sindano, kubana na kuachia, sijui kukamua n.k yote hayo ni katika kuhakikisha mwanaume (not mwanamke) anaenjoy (Mtanisamehe bure jamani tukihamishwa chumba)- Kwa hiyo hii sehemu yako ya mshangao sidhani kama tunawezawalaumu wanawake wengi kwa kutolijua hili.

Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.
Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?

Wengi tunaponzwa na jamii na mafundisho yake, wazee wanakufunza ndoa ni uvumilivu, kwenye dini twaambiwa ni ya milele tena kilichofungwa mbinguni, mwanadamu should not put assunder........nafikiri wengi tumeathiriwa na haya. Tena ukiingia kwenye jamii bado unakutana na vikwazo kwa wale ambao hawako tayari kunyanyaswa, mtu akiamua kuwa sasa abuse basi, wanawake hao hao wanamuinulia unabii, oh tulijua ndoa hatoiweza, oh mabinti wa siku hizi hawajui thamani ya ndoa, oh wasomi hawaoleki ah!
 
MwanajamiiOne,dah wote wangekua positive kama wewe mjadala ungeleta majibu mazuri na pengine suluhu ya tatizo hili.Nilichokua nashanga umekionesha kwenye maelezo yako,NIMEYAKUBALI.Idadi kubwa inaonekana kuteseka na idadi kubwa ileile inaonekana kutetea jambo lilelile.Haya wataalam wanaita ni matatizo ya kisaikolojia,unateswa na jambo lakini hauko tayari kuliacha au kulitafutia ufumbuzi.Hili la kutofika kilele tunaweza sema siku hizi ndo limekua ishu kwa sababu ya maendeleo,zamani hawakujua,hata kufujwa nalo hawalioni?Bahati nzuri umemention baadhi ya sababu,angalau tunaweza kuanzha hapo!
 
Last edited by a moderator:
atafka 2 taratbu ndo mwendo.hapo dereva ndo anajua aweke gia namba ngap na sehem gan ili abria afke salama.Hapo mwendesha gar ndo muhucka wa swal abiria walaaa haucian apo
 
Back
Top Bottom