Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?

Naomba reference ya huu utafiti, ili nikausome vizuri. Inawezekana mtafiti alitoa pia mapendekezo nini kifanyike kutatua tatizo.
 
Utafiti wako umeufanyia wapi?
Umeuliza wanawake wangapi ili kupata jibu la 95%
Hii ya kwenda kwa mganga nayo umeifanyiaje utafiti?
Una maana kati ya wanawake 100 walioko kwenye ndoa 85 wamekwisha onana na maji marefu ili kupata hirizi ya kupendwa?
Sas hili la 80% ya wanawake walioko kwenye ndoa kufujwa sijui unamaanisha nini?

Mimi niko kwenye ndoa miaka 21 bado sijui undani wa ndoa za watu kibao hadi wale ambao nimeshiriki kutatua matatizo yao ya ndani mpaka yakaisha.

Kuna kumchoka mtu kwa vitabia au kwa kudhanibucha ya pili nyama ni nzuri zaidi.

Binadmu yangu alisha wahikumwacha mama mtoto wake kisa ni mshamba haendani na wakati hii ni kama 16 years a go.
Basi mimi na mke wangu tukamfuata yule mama wakati huo akiwa binti kazaa mara 1 tu tukamhoji akatueleza mengi.

Mke wangu akaamua kufanya jambo moja ambalo mimi sikuwahi kufiriki.

Tulimtafuta fundi mzuri wa nguo za kike tukamshonea sketi 3 blauzi 3 na magauni 2
za ndani safi pafyumu na pea mbili za viatu
binti akatinga saluni wakamfumua twende kilioni zake na kumsuka vizuri.
Kisha tukamwambie ajipitishe mitaa ya Sinza anakoishi yule binamu yangu.
Rafiki zake walipomwona habari zikamfikia binamu yangu ikabidi afanye juu chini akutane na mama mtoto wake naye ajionee.
Siku walipo kutana jamaa taya la chini nusura lijipigize chini huku mimacho imemtoka.
Akamwangukia na hakumwona mshamba tena.

Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?
 
Wanawake asilia wanapaswa kuandaliwa katika tendo la ndoa iliwalifurahie. Ni Mwanamme ndiyo mwenye wajibu huo na si vinginevyo. Mume aliyefundwa na kujibidisha namna ya kusisimua mke ndoa haina tabu. mume anapaswa kumstadi mke speed yake ya kuelekea kileleni na hivyo amsubiri . TATIZO WANAUME WENGI WABINAFSI HUTAKA KUFURAHIA PEKE YAKE WENGI HAWANA MPANGO WA KUJUA HAYO- TATIZO NI MFUMO DUME.
 
Mi sijui, ila kwani na wanaume tunamatatizo gani?
Miaka kadhaa iliyopita nilipata zali tu lakuwa na girlfirend lakini hakuwahi kuniambia ninamfikisha au lah! Ila nakumbuka tu kauli chache kwa mara chache tulizofanya kabla hajaokoka tukaachana lonely hadi kesho alikuwa akisema "nimeyakumbuka mapigo yako njoo!, mara mkimaliza nimechoka nikitoka hapa naenda kulala kabisa.." sa sijui ndo kusema nilikuwa nampatiaga au?
 
Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?

Kwa swala la kufika kileleni kwa mwanamke tatizo linakuwa kwa mwanaume na si swala la kumlaumu mwanamke,na kwa wale ambao hawajui kuwa kuna kufika kilelelni pia inahitaji mwanume uwe na huo utundu ndio unaweza kusababisha mwanamke afike.Kuna njia kama tatu ambazo ukizitumia vizuri ni lazima afike unless kama huyo mwanamke atakuwa hayuko kwenye mood siku ya kukutana.Hilo swala la kufujwa kwa wanawake hapo mie naona ni ushetani wa mtu tu au matatizo ya ndani ya ndoa ndio yanaweza kusababisha baadhi ya wanawake kufujwa.
 
BG baba,umesoma thread ukaelewa au umekurupuka?
 
Last edited by a moderator:
Mbimbinho,i do respect WoS,this is not meant for her,this is for all women!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom