JOVINE EMMANUEL
New Member
- May 16, 2011
- 3
- 0
Jamani msimuonee bure huyu dada labda kama kuna kitu kingine nyuma ya taarifa hii lakini mie naona CV imekaa poa tu. Kwa wale wasiofuatilia mambo ya elimu nchi za nje ni kwamba Masters Degree ni mwaka mmoja tu Uingereza iwe M.Sc, M.A e.t.c