Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
"Ujinga usio na madhara ni bora kuliko Elimu isiyo na faida" #Msodoki

EMT tupe mtiriko wa kutoka cheti cha chuo cha uchochoroni mpaka uzamili na uzamivu inakuwaje hapo?
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri nyie mkikutana na mtu aliyemaliza degree kwenda Ph.D bila kusoma Master mtashangaa sana.

Pia mtashangaa sana kumkututa profesa ambaye hana Ph.D.

Hii ni kwa sababu wengi wetu tumekuwa programmed kufikiri in the same way. Bado tuna frikra za zama za Nyerere.

Wengi tunadhani ukimaliza shule ya msingi, unaenda secondary, then A Levels, the degree, then master, then PhD, then ndo unaweza kuupata uprofesa.

Mkuu hyo inawezekana lakn lazma huyo mtu awe kipanga lakn sio hyo cv inaonyesha kabsa elimu ya kuungaunga,hakuna hata sehem moja amepita ambayo ni ya maana.
 
nadhani "cerificates are nothing but pieces of papers, real knowledge" iko kichwani sasa binafsi sijamfuatilia lakini kama ni mbunge bila shaka wapo mnaofuatilia bunge je hizi "achevements" mnazozisema hapa zinaonekana katika michango yake na utendaji wake?

"any body can have those pieces of papers" lakini "we are interested with knowledgeable people who can do something" na hiyo ndio mantiki ya elimu na si kuwa na "pieces of papers looking for posts but" utendaji nothing.

Dear Sir, with all the due respect, don't you ever try to call our hardworking plus sleepless nights piece of papers...... the question under discussion here is not the knowledge or whatever, it is the education fraud...a person of such status forging her education...how about us? the 2 dollars per day? for your advantage don't call our hardworking piece of paper simply because drop outs are running the intellectuals...time is always a good healer..by the way you have been warned
 
Nafikiri nyie mkikutana na mtu aliyemaliza degree kwenda Ph.D bila kusoma Master mtashangaa sana.

Pia mtashangaa sana kumkututa profesa ambaye hana Ph.D.

Hii ni kwa sababu wengi wetu tumekuwa programmed kufikiri in the same way. Bado tuna frikra za zama za Nyerere.

Wengi tunadhani ukimaliza shule ya msingi, unaenda secondary, then A Levels, the degree, then master, then PhD, then ndo unaweza kuupata uprofesa.
Mkuu lazma huo mtririko ufatwe kwa nchi znazofata mfumo wa UK na Us labda kama unafata wa oman tutakuelewa usialalishe forgary
 
Chakula ya mkuu hii,,atalalamika kwa mkuu mmemsema jf,,mkuu atamtonya Mu-kandara mpe degree,,atapewa fasta PR ya 3.9.
 
Mtililiko wake wa kitaaluma sio mbaya,katoka diploma hadi masters,kwa style hii hana haja ya kuchukua PHD na siku sio nyingi atakua Prof.Vicky Kamata.....................Tanzania iingizwe kwenye maajabu 7 ya dunia aise
 
EMT tupe mtiriko wa kutoka cheti cha chuo cha uchochoroni mpaka uzamili na uzamivu inakuwaje hapo?

Mkuu hyo inawezekana lakn lazma huyo mtu awe kipanga lakn sio hyo cv inaonyesha kabsa elimu ya kuungaunga,hakuna hata sehem moja amepita ambayo ni ya maana.

Mkuu lazma huo mtririko ufatwe kwa nchi znazofata mfumo wa UK na Us labda kama unafata wa oman tutakuelewa usialalishe forgary

Point yangu ni kuwa siyo lazima mtu afuate mtiririko uliofuatia wewe ili awe na masters au degree. Na Julius Malema Jr ndo kachemsha kabisa pale anaposema kuwa ni lazima huo mtririko ufuatwe kwa nchi zinazofata mfumo wa UK na Us.

Inawezekana kuna nchi zinafuata mfumo wa zamani wa hizo nchi, lakini nchi ambazo tulidesa zimeshaachana na huo mtiririko wa kizamani. Watu wanaangalia zaidi uwezo na experince yako ya kusoma kwa mfano PhD na siyo kuwa ni lazima uwe na master. Hata watoto wa shule za msingi wanarushwa madarasa pale wanapoonekana wana uwezo zaidi.

Sisemi kuwa Kamata ana uwezo zaidi, ila point yangu ni kuwa siyo lazima uwe na degree ya kwanza ndo usomee degree ya pili, uwe na degree ya pili ndo usomee Ph.D. Nina rafiki yangu ni form six leaver na anasomea masters huko huko UK kwa sababu ana experience ya muda mrefu kufanya kazi katika fani anayosemea.

Alitaka kuanza na degree ya kwanza nikamwambia huko ni kupoteza muda na fedha. Tukafanya application ya masters UK, akaweka evidence zake za work experience wakampa admission ya master. Ila bongo hapa wangemwambia aanzie na degree ya kwanza. So, nilivyosema kuwa wengi wetu tumekuwa programmed to think in the same way sikukosea. Tumedesa kwa wenzetu enzi lakini bado eti tunadhani wana-practice hivyo hivyo, wakati wao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira.

Kwanza hili suala la elimu ya Kamata limeshajadiliwa sana humu wengi wakaandika vya kutosha. Sijui kuna umuhimu gani tena wa kuruadia yale yaliyojadiliwa hapa mwaka 2012? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...90803-mh-vicky-kamata-cv-[-mungu-tuokoe].html. Kuna nini jipya zaidi?

Kwa mujibu wa UKI "kuhusu huyo dada alisoma first degree kweli pale sauti alisoma na shemeji yangu hapo nafikiri wamekosea kuweka hiyo diploma na hiyo master vick ni kweli alipanda ndege kuja kusoma hapo chuoni ila alifikiri maisha ni mdebwedo mwisho wa matokeo yake alifeli somo alitakiwa arudie na vile vile project yake alikuta plagiarism ni zaidi ya 35% kumbuka hichi chuo hakuna mitihani ni assignment na gruop and individual presentation hapo ndipo kuna ugumu kidogo akapigwa ban akaambiwa nayo arudie matokeo aliyapata akiwa bongo alijiamini kuwa amefanya vizuri alishindwa kuja kurudia kwa sababu aliishia kwenye siasa so mpka leo hii result iko pending hajarudia na alitakiwa kurudi mwaka huu january ila mpka leo tunamuona mjengoni nahisi amesharidhika na ubunge wake anaona shobo kukaa darasani tena."
 
Tunajadili ufisadi tu,ufisadi Mkubwa ni wa kimaadili na kwenye Elimu

Dada Vicky naomba uje huku tafadhali

masters za UK ni mwaka mmoja na mwaka wa masomo unaanza oktoba. Kitu cha kushangaza kama alianza oktoba 2008 turitarajia amalize oktoba 2009, lakini kaanza oktoba 2008 kamaliza okotoba 2008.
 
Point yangu ni kuwa siyo lazima mtu afuate mtiririko uliofuatia wewe ili awe na masters au degree. Na Julius Malema Jr ndo kachemsha kabisa pale anaposema kuwa ni lazima huo mtririko ufuatwe kwa nchi zinazofata mfumo wa UK na Us.

Inawezekana kuna nchi zinafuata mfumo wa zamani wa hizo nchi, lakini nchi ambazo tulidesa zimeshaachana na huo mtiririko wa kizamani. Watu wanaangalia zaidi uwezo na experince yako ya kusoma kwa mfano PhD na siyo kuwa ni lazima uwe na master. Hata watoto wa shule za msingi wanarushwa madarasa pale wanapoonekana wana uwezo zaidi.

Sisemi kuwa Kamata ana uwezo zaidi, ila point yangu ni kuwa siyo lazima uwe na degree ya kwanza ndo usomee degree ya pili, uwe na degree ya pili ndo usomee Ph.D. Nina rafiki yangu ni form six leaver na anasomea masters huko huko UK kwa sababu ana experience ya muda mrefu kufanya kazi katika fani anayosemea.

Alitaka kuanza na degree ya kwanza nikamwambia huko ni kupoteza muda na fedha. Tukafanya application ya masters UK, akaweka evidence zake za work experience wakampa admission ya master. Ila bongo hapa wangemwambia aanzie na degree ya kwanza. So, nilivyosema kuwa wengi wetu tumekuwa programmed to think in the same way sikukosea. Tumedesa kwa wenzetu enzi lakini bado eti tunadhani wana-practice hivyo hivyo, wakati wao wanabadilika kulingana na wakati na mazingira.

Kwanza hili suala la elimu ya Kamata limeshajadiliwa sana humu wengi wakaandika vya kutosha. Sijui kuna umuhimu gani tena wa kuruadia yale yaliyojadiliwa hapa mwaka 2012? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...90803-mh-vicky-kamata-cv-[-mungu-tuokoe].html. Kuna nini jipya zaidi?

Kwa mujibu wa UKI "kuhusu huyo dada alisoma first degree kweli pale sauti alisoma na shemeji yangu hapo nafikiri wamekosea kuweka hiyo diploma na hiyo master vick ni kweli alipanda ndege kuja kusoma hapo chuoni ila alifikiri maisha ni mdebwedo mwisho wa matokeo yake alifeli somo alitakiwa arudie na vile vile project yake alikuta plagiarism ni zaidi ya 35% kumbuka hichi chuo hakuna mitihani ni assignment na gruop and individual presentation hapo ndipo kuna ugumu kidogo akapigwa ban akaambiwa nayo arudie matokeo aliyapata akiwa bongo alijiamini kuwa amefanya vizuri alishindwa kuja kurudia kwa sababu aliishia kwenye siasa so mpka leo hii result iko pending hajarudia na alitakiwa kurudi mwaka huu january ila mpka leo tunamuona mjengoni nahisi amesharidhika na ubunge wake anaona shobo kukaa darasani tena."

Hivi zile mbwembwe za first class alitoka patupu? jamani binti alisumbua watu huyu sijaona!!!

Mama Maajar anaijua hii ishu ya binti kudunda huko? ha ha ha ntafunga safari nikamsimulie maana ilikua shidaaa!!!!
 
Nafikiri nyie mkikutana na mtu aliyemaliza degree kwenda Ph.D bila kusoma Master mtashangaa sana.

Pia mtashangaa sana kumkututa profesa ambaye hana Ph.D.

Hii ni kwa sababu wengi wetu tumekuwa programmed kufikiri in the same way. Bado tuna frikra za zama za Nyerere.

Wengi tunadhani ukimaliza shule ya msingi, unaenda secondary, then A Levels, the degree, then master, then PhD, then ndo unaweza kuupata uprofesa.

Mkuu,usemacho Ni sahihi,hata Prof Mwandosya hakufanya Phd.Lakini SI kwa Vick Kamata
 
nadhani "cerificates are nothing but pieces of papers, real knowledge" iko kichwani sasa binafsi sijamfuatilia lakini kama ni mbunge bila shaka wapo mnaofuatilia bunge je hizi "achevements" mnazozisema hapa zinaonekana katika michango yake na utendaji wake?

"any body can have those pieces of papers" lakini "we are interested with knowledgeable people who can do something" na hiyo ndio mantiki ya elimu na si kuwa na "pieces of papers looking for posts but" utendaji nothing.

Ulikuwa unataka kuandika kitu cha msingi, tatizo unaiogopa Jamii Forum, haya rudia kuandika na uniite. Ahsante
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom