Mh temu tonee huruma kazi tunaipenda swissport lakini uzazi tunaupenda zaidi ndugu yangu

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Unajua malaika si lazima aje usiku hata mchana anaweza kuja inategemea jinsi han ya kumpokea na kufaidika nae..nilikuwa kwenye basi moja nakuta vijaana wamependeza wamekaa kitini wanaongelea upande wa kazi mmoja akasema
kwa kweli leo nimekata tamaa kabisa na kazi naipenda lakin tunspoelekea usishangae wanaume wengi wa swissport wanazeeka na miaka 40,awataki kusikia ndoa ama gfriend..akamuuliza kulikoni hiyo ni majuzi akamjibu bwana kwa kweli sijui mh wetu inabidi aongeze wafanyakazi wa kubeba mizigo inapoelekea tunaenda kuzalisha wagumba kwene kampuni bila kujua.,,,watu wakacheka sana alipotumaliza akasema

unajua kijana leo wamekuja wachina wanasafiri walipoweka mizigo mitano ya kilo sawa mizani ikazunguka kama mara tatu nikamwambiamwenzangu duh leo kazi ukisikia unarudi nyumban mkeo anakugeuza unaishia kupumua pumua tu kama umekabwa na jinamizi ndiko huku..mi ndio maana naogopa kuoa sipendi kumtesa mtoto w amtu wakati nikirudi najipasha na moja mbili nikifika unafikiri hata upitishe wembe usikii tumecheka sana sana

anyway mh temu embusikia kilio cha watooto wakonajua walikuwa wanafanya kucheka lakini hawa wametoa yaliyo moyoni ongeza vijana wa kubeba mizigo iliniumiza hapo aliposema tunapoelekea tunazalisha vijana wagumba kwenye hii kampuni ..la hasha najua mh wetu ni msikivu mpenda kusikia na matumaini ya kuongezewa wala msiwe nawasi ni member wetu mzuri tu...

Kila la kheri swissport kwa kazi nzuri na jina zuri
 
Hio kampuni ya Swissport imejaa Ukabila mtupu, Top Management yote ni Wachaga.
HR ni Mdogo wake Mama Mkapa.
 
Eee bana eee
Andika kitu kilichoenda skuli basi
Si kama mazungumzo ya kariakoo, imechukua muda kukuelewa
 
Kwani Swissport haina nyenzo za kubebea mizigo? Watu wanabeba mizigo kama makuli? hakuna forklifts and other utilities?
 
Back
Top Bottom