Mh.susan kiwanga,peter msingwa,mpendazoe wamkamata mwizi kingston-morogoro

mkonge

Member
Feb 7, 2012
15
2
leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika kuleta maendeleo ya nchi hii.Watoa maada walikuwa \mh. Peter Msigwa,Mh Susan kiwango na Anko Mpendazoe.Shughuli Hii iliambatana na ufunguzi wa Tawi la Kingston-morogoro mjini.
 
Habari ni nzuri ila umeiandika kama vile unapost facebook! Be a GT.
 
Bold -- yupo tawire
Hapa ndipo ccm inapopigwa bao na cdm.. ccm wenyewe wamekalia vikao vya ndani ya chama wakati cdm wapo nje wanadeal na wapigakura. cdm kimedhamiria kuichukua nchi
Kazi kutishana tu! "We nani kakwambia usign? Utanikoma"
Wao ngoja wajikwae waanguke, waanze kulaumu walipoangukia. Badala ya kuangalia ni kipi kilichowafanya waanguke.
 
Mkuu hii ni habari njema, tatizo hukushirikisha ubongo kutafuta heading inayoendana na habari.

Ni sawa na kichwa cha habari inasema MKONGE afumaniwa live, halafu ndani inasema MKONGE leo ana birthday
leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika kuleta maendeleo ya nchi hii.Watoa maada walikuwa \mh. Peter Msigwa,Mh Susan kiwango na Anko Mpendazoe.Shughuli Hii iliambatana na ufunguzi wa Tawi la Kingston-morogoro mjini.
 
huyo mwizi aliyekamatwa ni yupi hasa!!
Nashangaa hawa jamaa kila siku kampeni tu miaka 5 sasa wataongeza mingine 10 maana Katibu wao anakusanya saini za kumtoa Rais baada ya kukubali alipata milioni 2 na JK miliomi 5
Wezi wengi tu
 
Nashangaa hawa jamaa kila siku kampeni tu miaka 5 sasa wataongeza mingine 10 maana Katibu wao anakusanya saini za kumtoa Rais baada ya kukubali alipata milioni 2 na JK miliomi 5
Wezi wengi tu

Unajifunza Takwimu siyo? JK alitangazwa na NEC kwa takwimu za uchakachuaji ndiyo maana mzigo wa kuongoza nchi unamshinda. Wapiga kura hawakukosea kutompigia.
 
Join 26/April 2012
Posts- 17
Like received -1

Sio kosa lako...Ukikua utaacha
.
Walikuwemo wenzake humu akina Faiza Fox, Mwita25, Malaria Sugu, mwishoni bila kuambiwa na mtu, wakajipima wenyewe wakajiona wanapwaya ndani ya Jukwaa hili la GT's wakaingia mitini wenyewe. Hata huyu kwa jinsi alivyoingia kinyumenyume, sidhani kama atachukua muda kabla hajakimbia kwenda kuolewa na huko Uarabuni.
 
CHADEMA JAMANI MBONA RAHA AJABU HIVI KWA KAZI NA KASI YA UKUMBOZI WA SIE WATANZANIA WAVUJA JASHO KILA KONA YA NCHI!!!

Viongozi wetu CHADEMA hakika mnaleta RAHA ajabu kwa jinsi mlivyojipanga na kukishambulia CCM kushoto, kati, kulia, mbele, na zaidi kule Bungeni.

Zaidi sana, ukweli usemwe,
Mchungaji Msigwa huyu NI JEMBE hakuna spea. Ndani ya uwanja wa siasa anacheza namba zote na kwa umahiri mkubwa sawa tu na yule Mchezaji KIRAKA wa zama zile, MwanaMtwa Kiwelu.

Viongozi vijana mlioko ndani ya CCM nanyi tunawapeni heko kwa kuona mwanga na kuamua kupigania HAKI, HESHMA NA UTU wa Mtanzania.

leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika kuleta maendeleo ya nchi hii.Watoa maada walikuwa \mh.

Peter Msigwa,Mh Susan kiwango na Anko Mpendazoe.Shughuli Hii iliambatana na ufunguzi wa Tawi la Kingston-morogoro mjini.
 
Back
Top Bottom