Mh sumari kuagwa karimjee na yeye??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,947
22,105
Wana jamii
embu tuhabalishane mapema kama na ndugu yetu baba yetu mh sumari nae tunamuaga huko
alikopita dada etu regia tujiandae mapema tunaagaje ofisini ama tumefiwa ama mke anaumwa sana
ama ninaharisha kuliko kushtuana wapendwa mwenye update za msiba atuhabalishe

mungu awape nguvu na uvumulivu familia ya mzee wetu hasawakati huu mgumu

bwana ametoa bwana aemtwaa jina lake lihimidiwe
 
Back
Top Bottom