Mh. Sugu na sakata la Dkt. Ulimboka

ningependekeza uchaguzi wa spika, naibu wa spika na hawa wenyeviti ufuate qualification's sambamba na test kupima IQ ya mgombea kabla ya kupewa kazi hizi. mambo mengine yanayofanyika bungeni chini ya uenyekiti wa hawa watu ni aibu kwa taifa.

Kuzarau na kuzizima hoja za wapinzani na kuruhusu mipasho toka wabunge wa CCM si suruhu ya kuiponyesha CCM mbele ya macho ya wananchi, hapa ndiyo kuizika kabisa.
 
Back
Top Bottom