Mh sugu,Mh silinde,mh msigwa wafunika makambako.!

''Usually when peogle get sad,they don't do anything,they just cry over their condition,but when they get angry they bring about a change''

Malcom X.
 
Mbona Ritz na wenzake wanasema CDM iko Arusha na kanda ya kaskazini tu, bila shaka huko nako ni kaskazini mkuu!
 
Nani kasema CHADEMA ni chama kisichofika mikoani zaid ya kaskazini tu?....
 
nimemsikia katibu wa chadema makambako akiwalaumu wanamakambako kwa kumchagua mbunge ambae hajasoma,hajui kujenga hoja wala haelewi lolote lile bungeni zaidi ya kugonga meza tu..
 
Kale kabindi(kabinti, maana kwa asili yetu hatuwezi kutamka wala hatuna katika vitamkwa vyetu "nt" na "z" ila tuna "nd" na "s") kanakojiita [MENTION] greenstar[/MENTION]?

Fidel80 upo?

Hongera kamanda Nyimbo, Msigwa, Sugu na Silinde kazi yenu si bure.
 
Nguvu ya uma popote hakuna haja ya kuuliza ni kwamba 2015 Chadema wanachukua nchi si mnaona kinachoendeleaaaaaa Peoples Power for ever
 
Genister muhagama c ndo mbunge wa makambako? Huyu mazel anajali zaid masilai ya ccm na c watu wa makambako, poleni sana natmai kosa si kosa bali kurudia kosa ndo kosa, na hamtarudia kumchagua tena uyu mama muhaini wa haki
 
Genister muhagama c ndo mbunge wa makambako? Huyu mazel anajali zaid masilai ya ccm na c watu wa makambako, poleni sana natmai kosa si kosa bali kurudia kosa ndo kosa, na hamtarudia kumchagua tena uyu mama muhaini wa haki

mkuu kuwa makini kidogo mbunge wa makambako sio mhagama ni Deo sanga au jahapipo.Mhagama mbunge wa peramiho huko songea.!
 
Mh...kama tunatania vile, kumbe mwisho wa siku wasije sema tumeshinda kwa wizi wa kula....kasi hii ikiendelea, wataiba kura na hazitatosha.....bado tutabaki na nyingi za kuongoza nchi hii.....!!!

Hapo bado sijafika kila kijiji cha mkoa mpya wa katavi kwa Mzee Nyooka....kazi kweli kweli....!!!!
 
nimeamini sasa watanzania wameamka pengine kuliko wakati mwingine wowote ule.!
 
ukombozi upo mbioni,mitume wetu kazeni buti maana Mungu katupenda ndio maana katupa cdm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom