Elections 2010 Mh Slaa ateta: Nafasi ya 30 Afrika haitoshi.

Mheshimiwa Slaa amezikubali kwa shingo upande takwimu za uchumi za mtandao wa Aneki.com, ambazo zinaiweka Tanzania katika nafasi ya 30 kati ya nchi 52 za Afrika kwa ulinganisho wa income per capita.

Katika ulinganisho huo nchi ya kwanza ni Equatorial Guinea ($30200), ya pili Botswana ($15 000), ya sita S. Africa ($10500)....... ya 27 Ghana($1500)ya 30 Tz ($1400)........ya 52 Zimbabwe ($200)

Mh Slaa ameahidi kuwa kama atatinga Ikulu basi ataipandisha Tanzania mpaka nafasi ya 3 baada ya miaka 5. Amesema kuwa Tanzania yenye madini mengi sawa na A. kusini haistahili kuwa nafasi ya 30.

Tukirudi nyuma, nafasi hiyo ya 30 Tanzania haijawahi kuishika. Hii inaonyesha wazi kuwa kasi iliyoipata TZ ni kubwa sana na inaonekana wazi kuwa hata Mh Slaa anaikubali. Kwani sio sirio kuwa Tanzania tulikuwa tunacheza katika 10 bora katika umasikini duniani.

Tutakuwa hatuna shukurani kama watanzania ikiwa pamoja na wapinzani hawatakubali kuwapongeza wote walioinyayua hadhi TZ yetu.

Swali ninalojiuliza ni kama kweli sera za CHADEMA za uichumi zinaweza kutuweka nafasi ya 3? Je mwenzangu unaamini hayo?

Cheap politics hatuzihitaji.

Kwanza Slaa sio mh ni DR: pili you dont know nothig about Economics and pa capita income. Wewe ndio unaleta cheap politics.
 
Back
Top Bottom