Mh Seif Iddi , unajua ya Haroun Suleiman wa SMZ na uporaji wa kiwanja cha gov?

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Nasikia moja ya eneo kubwa la Chuo cha ufundi Karume kiliopo mbweni limemegwa na Mh haroun Ali suleiman na kulibeba kwa matumizi yake kwa kutumia nguvu bila kufuata utaratibu wowote wa kisheria, anakusudia kujenga hoteli au nyumba ya familia yake. ni eneo liliopo karibu kabisa na hosteli za wanafunzi na mpakani mwa chuo cha afya mbweni.
ametumia mamlaka yake ya uwaziri wa Elimu wakati huo ili kuhalalisha ukwapuaji wa kiwanja cha serekali bila hata kutoa shilingi moja. pia ameweka mlinzi kulinda eneo hilo la wazanzibar.
jee mh Iddi unajua uchafu uliofanywa na Haruna eneo hilo?
 
Haijalishi ndugu yangu! Kwetu afrika uongozi ni fursa? ya kupata vitu kama hivyo! Usishangae
 
Back
Top Bottom