Mh said mwema, nahodha kwanini mumeshindwa kuwakamata magaidi hawa au kwa sababu sio la kisiasa?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Hapa Zanzibar palitokea tukio moja la kigaidi la Mkurugunzi wa manispaa ya Zanzibar kumwagiwa tindikali na kuharibika mwili wote.
ni tukio la kigaidi lilopangwa na magaidi ya kutaka kumuua mhusika.
Huu mgogoro unatokana na mkurugenzi huyo kutaka kuwahamisha wafanyabiashara waliopo darajani.
Huyo aliefanya tukio inawesemakana hadi leo hajakamatwa na hakuna aliekamatwa kwa kesi hiyo ndio maana hakuna kesi mahakamani.
Nakumbuka matukio kama hayo au chini ya hayo yalipokuwa yakifanyika kwa wanasiasa watuhumiwa wakimatwa na kufikishwa mahakamani. lkn swala hili lilofanywa kwa ofisa wa serekali kwa ajili ya kutumikia taifa limeachwa. jee kwa kuwa sio mwanasiasa?
 
Pole ndugu yangu MJI MKONGWE, post yako ni ngumu mno ndo maana inakosa wachangiaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom