Mh.s 6 the time will tell you

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10
sita kuwambia wabunge wanaopinga kulipwa posho kwa wajibu ambao ni wao umejipalia moto nani atakusaidia kuuzima ,mwanzo nilidhani kuwa unafaa kuwa kiongozi ila kwa leo mchana bungeni ndo nimegundua kuwa ''The high you go the cooler become'' kadri unavyozidi kuongezeka umri ndivyo na uwezo wA kufikiri kunazidi kukupungukia'
 
Back
Top Bottom