Mh. Regia Mtema (RIP); Just a thought

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
Hi everybody;
Naomba kum-vote Mh. Regia Mtema (RIP) kama mmojawapo wa wabunge waliokuwa wanaopendwa sana na jamii ya watanzania. Hii haimaanishi kuwa wabunge wetu wengine hatuwapendi, la hasha ila kusema ukweli viwango vya mapenzi huwa vinazidiana. Nadhani alikuwa anaongoza kwa wabinge wote wa JMT, hata wabunge wenyewe wameonyesha dalili thabiti kabisa za kukiri hili.

Angalizo: Nimekuja kugundua kuwa ukiingia Bungeni ukiwa kijana mdogo, halafu una hoja, unapendwa sana na watu including hata wale ambao unaopingana nao. Waoneni akina Zitto, Mnyika, Kafulila, AC (RIP), n.k.

Naomba kuanzia leo kum-vote kama mbunge ambaye amechukua namba moja kwa kupendwa na watanzania , hadi rekodi yake itakapovunjwa huko mbeleni, na ieleweke hivyo hata kwenye genes book of records ya Tanzania!

Mungu amlaze mahali pema peponi
 
Wonderful!
She has been marvelous, Lioness, and Pure-Iron Lady!
+RIP MY LOVE+
 
Farewell Regia... Na kama kweli kuna kuonana,

Naomba msalimu Amina Chifupa with Love...
:flypig:
 
Hata mimi mwenyewe nimeshangaa kuanzia majukwani mpaka nje ya majukwaa. Hii ni fundisho kwa wabunge vijana kuwa na hoja na ushirikiano na watu wa marika na kada zote.
 
RIP Regia. Amen. Mwanga wa Milele Uwaangazie Eee Bwana (x3). Wapumzike kwa Amani.
 
Nilitoke kumpenda Mh Regia Mtema, na kipindi cha mwisho mwisho ndo nilizidi kumpenda, nilikua na chat nae via fb na jf. Bt kazi ya Mungu haina makosa. R.I.P dada Regia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom