Mh: Regia mtema na zito tunaomba muanzishe hili la television na redio

GATS

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
240
17
Waheshimiwa niliowataja hapo nawaomba waanzishe mchakato wa kuanzisha Television na Redio ya CDM ili tuweze kuyapeleka mageuzi kwa kasi. Mtaniuliza pesa itatoka wapi. Nasema pesa tunazo tutazitoa ilikuanzisha hivyo vituo cha muhimu ni organizers kutoka kwenye chama.
Tunaomba mliangalie hilo.
 
Back
Top Bottom