Mh.Rashid M. Kawawa anaweza kulinganishwa na Mh.Kingunge?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Mh.Rashid M. Kawawa anaweza kulinganishwa na Mh.Kingunge?

MH. RASHID M. KAWAWA
1. Mkongwe katika Siasa lakini ni mstaafu
2. Hana tuhuma za ufisasdi
3. Alitumika vizuri na Mwalimu Nyerere
4. Hajakiuka ushauri wa Mwalimu Nyerere.
5. Anaheshimika hapa tanzania.

MH. KINGUNGE N. MWIRU

1. Mkongwe katika Siasa lakini bado yupo kwenye siasa
2. Ana tuhuma za ufisasdi Maegesho DSM na Ubungo Bus Terminal
3. Alitumika vizuri na Mwalimu Nyerere sasa amekiuka ushauri wake
4. Amekiuka ushauri wa Mwalimu Nyerere juu ya uadilifu wa Uongozi.
5.Heshima yake hapa tanzania inafifia kutokana na tuhuma za ufisadi na msimamo wake kisiasa.

Wana JF ongezeni hapo chini.
 
nadhani wakati wa mh nyerere tulifumbwa macho ndio maana wengi hatuuzungumzii ufisadi wake. tulikula dona chungu hapa kutokana na vita visivyomaana . hata mh nyerere anaglikuwa kiongozi na na haya yote ya ufisadi yanafanyika basi bado tungalkuwa gizani, tusanglisema wala kunena.
tumwache Kingunge lale nchi, kawawa kaila sana tu. hasa pale mji mpya gezaulole lipoundwa
 
Kumlinganisha Kawawa na Kingunge ni sawa na kulinganisha Mlima Kilimanjaro na kishuguru cha mchwa.

Nakumbuka hata Mwalimu Nyerere alimwondoa Kingunge alipoboronga kule Ilala, akampeleka Tanga. Kawawa alikuwa mfuasi wa Mwalimu kikamilifu, labda kiasi cha kutothubutu kumpa ushauri pale alipohisi Mwalimu alikuwa amepotoshwa. Lakini Kawawa ni mtu mwadilifu licha ya kutopiga kelele dhidi ya ufisadi unaotafuna nchi sasa.
 
Wakati wa Nyerere tatizo lilikuwa vita baridi na yeye akaamua kutofungamana na upande wowote.
 
nitaendelea kusema daima mzee kingunge ni mnafiki wa kisiasa alisubiri mwalimu jk aondoke then aanze kujitajirisha na ndo maana anajikomba na kujipendekeza kwa uongozi uliopo ili aendelee kula vya ubungo bus terminal.
i submitt.
 
matusi yote dhidi ya kingunge ni baada ya kutofautiana na waraka wa kanis katoliki.

hata membe yalimkuta kama haya wakati wa hoja ya oic

hatushangai
 
we are tracing the content of the directory acha hisia za udini katika mambo ya msingi barubaru.kingunge anaogopa kivuli chake hasa kama wananchi watachagua watu makini ambao watakemea na kufuta mikataba yake ya ubungo bus stendi na maegesho ;please lets discuss isues and not speculations under the crown of religious biasness.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom