MH Rais,Mawaziri wabunge kuweni mfano kutibiwa HOSPITAL ZA SERIKALI

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Tumeona wenzetu mara nyingi mmekuwa mkionekana mkifungua mjadala ama
kuona marafiki zenu hospit za serikali..nahisi hili ndilolinachangia kutothamini hosp za serikali na kuzifanya zikiwa kama dampo la walala hoi,..embu aminini mkitka muhimbili,mwananyamala,temeke iwe kama aghakan ,regency inawezekana kabisa kuweni makini mijadala yenu hakikisheni pesa zinapeelekwa zinasimamiwa na maharamia wa miradi ..ya kuboresha hosp zetu hakika mtakuwa kihudhuria kama mnavyojazana kwenye mistari pale aghakhan.......Mh rais maa ya mwisho nimekuona ukifungua sijui mradi wa nini wew e hata ndugu sidhan wanatibiwa muhimbili ama hosp za serikali,,.majuzi nimeona mama yetu waziri wa biashara na viwanda nkatiwa moyo kuona mwanae akiwa amaejifungua akija kumtembelea...mh shein nakupongeza kwa kumleta mwanao kujifungua muh ahata kama ni fast truck....big up wote wanothamni serikaliza hospit zetu
 
ndugu yangu vigogo wote huwa wanatibiwa ndani ya nchi sema uambie wanatibiwa wapi uambiwe sema kuna pale inapotokea baadhi ya wataalamu wa magonjwa fulani hamna basi watatafuta sehemu zingine mbona wale wa moyo walikuwa wanaenda India sasa kuna wataalamu na hospitali za moyo nchini unaona safari zimepungua kwahiyo tutangaze vile tulivyonavyo na vitumike ipasavyo sio kebeki
 
Wazo zuri, viongozi kama mfano wanatakiwa kuwa mstari wa mbele wao na familia zao watibiwe humu nchini na hasa kwenye hospitali za serikali ili mapungufu watakayoyaona itakuwa rahisi kutoa mapendekezo ya kurekebisha.
 
ndugu yangu vigogo wote huwa wanatibiwa ndani ya nchi sema uambie wanatibiwa wapi uambiwe sema kuna pale inapotokea baadhi ya wataalamu wa magonjwa fulani hamna basi watatafuta sehemu zingine mbona wale wa moyo walikuwa wanaenda India sasa kuna wataalamu na hospitali za moyo nchini unaona safari zimepungua kwahiyo tutangaze vile tulivyonavyo na vitumike ipasavyo sio kebeki

Siyo kweli wewe ni muongo, vogogo wanatibiwa nje asilimia kubwa na mifano tunayo. Kitu cha msingi ni kwamba iwekwe sheria ya kuhakikisha mgonjwa awe kigogo au lower level staff anatibiwa hapa hapa nchini isipokuwa tu kama madaktari wa nchini watasema hawawezi then wa-recommend mgonjwa kwenda nje.
 
Magezi,
Sidhni kama Yonamaro ni Muongo, huenda hana uhakika na anachozungumza, lakini Uongo ni tuhuma kubwa kuliko habari yenyewe.
 
originally posted by yonamaro
nd
quote_icon.png
ugu yangu vigogo wote huwa wanatibiwa ndani ya nchi sema uambie wanatibiwa wapi uambiwe sema kuna pale inapotokea baadhi ya wataalamu wa magonjwa fulani hamna basi watatafuta sehemu zingine mbona wale wa moyo walikuwa wanaenda india sasa kuna wataalamu na hospitali za moyo nchini unaona safari zimepungua kwahiyo tutangaze vile tulivyonavyo na vitumike ipasavyo sio kebeki
i hamna basi watatafuta sehemu zingine mbona wale wa moyo walikuwa wanaenda india sasa kuna wataalamu na hospitali za moyo nchini unaona safari zimepungua kwahiyo tutangaze vile tulivyonavyo na vitumike ipasavyo sio kebeki
aiibu ndugu yangu kuwa mfinyu wa mawazo kiasi hiki,jiulize swali rahisi je kwanini hatuna hao madaktari hapa nchini mwetu???je hatuna uwezo ama??mfano mzuri unajua baba wa taifa alifia wapi???wajua gharama za matibabu kwa viongozi wetu nje ni shillingi ngapi???fedha hiyo inatosha kuleta hao wataalamu hapa kwetu na kuwaajiri!!!tatizo ni ulaji wa watu.......na udhaifu wetu sisi tunaeyaona na kuyafungia macho.embu jamani watanzania wenzangu tuamke kutetea maslahi ya nchi!!!!!!
 
Back
Top Bottom