Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa!

Eeeh bwana eeh, tatizo picha hiyo inakuwa intepreted na watu bongo kwamba besides ya hali ngumu ya maisha nyumbani rais wetu ankula good time but in reality haya ni mambo ya kawaida tu ya park za wenzetu kama hapa durban beach yapo mengi hayo for leisure na rais wetu kama mgeni akikaribishwa na wenyeji, sidhani italeta picha nzuri akikata kupanda provided secirity concers zimekuwa cleared na wapambe! But sometimes i think it needed a very fast concious thought decision of him or advisors on decidng to board the merry rider crane and about what negative implications of the photos to be taken, itakavyokuwa interpreted by people if it reaches our newspapers back home. Hiyo starehe kawaida huku, kila mtu anaruhusiwa kuride!

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Hata waraka wa Kanisa Katoliki ni jambo la kawaida huko Ulaya japo huku bongo mlileta kizaazaa kama mnavyoleta kizaazaa kwenye jambo dogo la merry cranes ambalo ni kawaida huko Ulaya.

Angeshauriwa vizuri kutoushangaa waraka basi huenda mambo mageni huku bongo kama hili l bembea wasingeshangaa.
 
Hiyo crane marais kibao wamepanda na ni sehemu ya kivutio cha utalii kwa hao Jamaica.

.

angalau tunayo picha ya jk amepanda crane....hao wengine unaosema wamepanda crane hilo ....na wewe wataje na bandika picha zao.....mwenyeji wake mbona alikacha kupanda ???????
 
Halafu ukisikiliza speech yake pale alipokuwa analetewa maji na msaidizi wake , akamwambia 'subiri', naye msaidizi akachukua glasi ya maji na kikwete 'akamuongezea toka hapo' usikae mbele... haya aliyasema kwa kiswahili wakati maicrophone ikimchukua live na yeye akiendelea na hotuba yake... sijui kama wabunge wa Jamaika walimuelewa kwa kuchanganya lugha AU walimshangaa kwa kumfundisha msaidizi wake protokali wakati wa shughuli yenyewe.. inavyooneka wasaidizi wake protocal wahazijui na yeye bila kuwaonea haya, anawapa live 'toka hapa', ngoja, 'subiri', usikae mbele..

hebu msikilizeni hapa

http://www.ustream.tv/recorded/2641002

Asanteni

masikini kijana wa ikulu alikuwa anafanya kazi yake kwani anajuwa rais wetu ana ugonjwa wa kuanguka hasa anapokaa muda mrefu bila kunywa maji yenye glucose......fiikiria pale angeanguka si kijana wa watu angekosa kazi.....ndio maana hakutaka kucheza mbali na kopo lake la maji...tatizo bosi wake ubishi..anamfukuza!!...naye kavunja protocal kwani kuna mtu alitakiwa kusoma uso wa rais tu na aakajuwa hataki....naye ni AIDE DE CAMP....lazima ajuwe body language na feelings expressions za bosi wake ili aweze kumlinda...
 
11_09_hmaerh.jpg

MARY GOO ROUND !! MARY GO ROUND !!! TUNAKUMBUKIA LUNA PARK.....toka enzi hizo!!...wanaosema bongo hazipo ....hawaijuwi bongo....zipo hata lushoto....na bembea za luna park na sabasaba je!!??
 
Vipi tena MODS!? :confused: Mbona mnambambikia BAK kichwa cha habari ambacho BAK hakukiandika!? BAK aliweka kichwa cha habari "Picture of the Day" naona mmeamua kukibadilisha sijui kwa sababu zipi!!! Mkitaka kuweka vichwa vya habari mnavyovitaka nyinyi ni bora kuanzisha threads zenu badala ya kutia ufundi hata pale ambapo hapahusu au mtakuwa mnashusha hadhi ya JF.
 
si vibaya preidaa kukiburudisha but sio iwekwe katika taswira ajue kuwa yeye ni watz wote so katika tawswira atleast ajitahidi atikee kwa serious issues si kubembea,translation itakuja kuwa presda wetu anafanya utoto sana, kuna masuala mengi mengi sana yanayoihusu nchi hii hata akiamua kutolala hadi amalize mda wake hayataisha so tunataka tumwone busy na mambo ya nchi hayo ya kudandia bembea na vitenge its not right,otherwise akitoka ziara ya binafsi iitwe ya binafsi na si ya kiserekali halafu unabembea na kukubali kupigwa picha,non sense!!
 
Labda akirudi atuambie, tunanufaika nini na yeye kupanda bembea kwa wajamaica huko? Maana anadai safari zake za nje ni kwa manufaa ya inji hii. MKulu na waifu wanaona uloda katika bembea, Wakati ndani ya baraza lake la mafisi ahh samahani la mawaziri wanapasuana!!
 
Halafu ukisikiliza speech yake pale alipokuwa analetewa maji na msaidizi wake , akamwambia 'subiri', naye msaidizi akachukua glasi ya maji na kikwete 'akamuongezea toka hapo' usikae mbele... haya aliyasema kwa kiswahili wakati maicrophone ikimchukua live na yeye akiendelea na hotuba yake... sijui kama wabunge wa Jamaika walimuelewa kwa kuchanganya lugha AU walimshangaa kwa kumfundisha msaidizi wake protokali wakati wa shughuli yenyewe.. inavyooneka wasaidizi wake protocal wahazijui na yeye bila kuwaonea haya, anawapa live 'toka hapa', ngoja, 'subiri', usikae mbele..

hebu msikilizeni hapa

http://www.ustream.tv/recorded/2641002

Asanteni

Mbali na hilo.....kwa ujumla speech yake ilikuwa nzuri........JF imemjenga kiaina..........Kudos to JF
 
Haya ndio mambo anayofurahia huyu kiongozi wetu. Kesho tutaona picha nyingine kapiga na wanamuziki wa Reggae.
Hope u dont mean this negatively ndugu,i.e kwamba kuonekana na wanamuziki wa reggae sio kitu kizuri...!!!!!!!!
 
kikwetebembea.jpg

Rais Jakaya na mkewe Salma wakibembea hewani kutalii vivutio nchini Jamaica pamoja na Waziri wa Utalii nchini humo,Edmund Barlett (kulia) na Horace Clarke, mmiliki wa bembea hilo lipitalo meta 50 hewani umbali wa kilometa mbili.
And i can see the ganja farmer down there!!
 
11_09_hmaerh.jpg

President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
Nimejaribu kufuatilia majdiliano yaliyotolewa na wengi kufuatia picha hii.Mengi yamesemwa lakini mi nadhani tunasahau kitu kimoja.Jamaica ni mojawapo ya visiwa vya Carribean ambavyo ni maarufu sana katika utalii na pato kubwa la Taifa linatokana na shughuli hii ya utalii.Najua kwa kweli ukiangalia hii picha basi kitu pekee unachokiona ni ''Rais akibembea'',lakini tunasahau kuwa tunaweza kujifunza mabmbo mengi kwa namna gani hawa wenzetu wa Jamaica wameweza kufanikiwa katika suala zima la utalii.The fact pekee kuwa Rais yupo hapo na waziri wa Utalii wa Jamaica inaonesha ''useriousness'''wa ziara hii ''kwenye bembea''.nadhani kwa kutembelea mwenyewe na kuona kwa macho take mwenyewe jinsi Wajam,aica wanavyo exploit vivutio vyao vya utalii basi kuna kitu cha kujifunza.Sidhani kwamba unaweza kwenda sema China na usitembelee The Great wall,,kwani ni vivutio vimojawapo vya nchi,katika hili mi sioni tofauti na alilofanya JK.Sina uhakika lkn nadhani pia ametembelea kaburi la Bob Marle pamoja na kutembelea makumbusho ya Marcus Garvey.je kwa haya yote hatuwezi kujifunza kitu?Je hatuwezi kutumia umaarufu wa Mwl lets say kupromote Utalii,kwani kuna wengi sana duniani ambao wanapendezwa na siasa na msimamo aliokuwa nao Mwl...!kwa hiyo kama tungekuwa na makumbusho say ya Mwl.basi watu wanaokuja Tz ambao vilevile ni wakereketwa wa Mwl.basi wangeweza kutembelea makumbusho haya na labda wangeongeza siku moja mbili za kukaa nchini.huu ni mfano tu.kwa hiyo sidhani kuwa picha hii inamfanya JK kuonekana hajali kuwa kuna Watz hawana chakula yeye anaenda Jamaica kubembea.....
 
I think we are making a big deal out of nothing. Raisi nae ana haki ya kurelax once in a while. Besides lile crane ni la kitalii ili mtu atoke point A mpaka B huku anaona kila kitu. So sijaona ubaya wa raisi kufanya hivyo. Kama uliangalia Olympics za mwaka wa jana kulikua na picha nyingi tu za Bush aki burudika ukijumlisha na picha moja aliyo piga anamshika mgongo mchezaji volleyball wa Marekani aliye vaa bikino tu.

Kuhusu usalama tusi lalamike kabla hatuja jua ni measures gani zili chukuliwa kabla raisi na mama raisi hawaja pandishwa juu. Kwani tuna uhakika usalama hawaku asses security risks before the 1st couple went up there? Let us give them the benefit of the doubt na tuwe na details zote kala ya kulalamika.

Pia unatakiwa kukumbuka kwamba Bushi alikuwa likizo wakati jamaa yetu yuko kule kikazi ingawa hatujui hasa ni kazi ipi!!!!
 
Halafu ukisikiliza speech yake pale alipokuwa analetewa maji na msaidizi wake , akamwambia 'subiri', naye msaidizi akachukua glasi ya maji na kikwete 'akamuongezea toka hapo' usikae mbele... haya aliyasema kwa kiswahili wakati maicrophone ikimchukua live na yeye akiendelea na hotuba yake... sijui kama wabunge wa Jamaika walimuelewa kwa kuchanganya lugha AU walimshangaa kwa kumfundisha msaidizi wake protokali wakati wa shughuli yenyewe.. inavyooneka wasaidizi wake protocal wahazijui na yeye bila kuwaonea haya, anawapa live 'toka hapa', ngoja, 'subiri', usikae mbele..

hebu msikilizeni hapa

http://www.ustream.tv/recorded/2641002

Asanteni

Speech ni nzuri ila bado ilihitaji marekebisho ya hapa na pale,kwa mfano aliposema Africa ni nchi ya 34 kwa umasikini na wakati huo huo akiwa ameshagusia kuwa Africa ni bara lenye nchi 54.
 
I think we are making a big deal out of nothing. Raisi nae ana haki ya kurelax once in a while. Besides lile crane ni la kitalii ili mtu atoke point A mpaka B huku anaona kila kitu. So sijaona ubaya wa raisi kufanya hivyo. Kama uliangalia Olympics za mwaka wa jana kulikua na picha nyingi tu za Bush aki burudika ukijumlisha na picha moja aliyo piga anamshika mgongo mchezaji volleyball wa Marekani aliye vaa bikino tu.

Kuhusu usalama tusi lalamike kabla hatuja jua ni measures gani zili chukuliwa kabla raisi na mama raisi hawaja pandishwa juu. Kwani tuna uhakika usalama hawaku asses security risks before the 1st couple went up there? Let us give them the benefit of the doubt na tuwe na details zote kala ya kulalamika.

Wewe umesahau ile picha ya Kikwete aliposimama kumpa dogo pipi? Kuna watu walimshikia bango utadhani ka commit murder! Kuna katabia ka watu humu kukuza mambo hata kama yako trivial namna gani. Wakati mwingine kwa baadhi ya watu Kikwete can't win either way...watamtafutia kitu cha kumkosoa tu.
 
Back
Top Bottom