Mh.Rais Kikwete aithibitishia CHADEMA ushindi 2015

we dont have to discover how to reach the next generation they will discover that themselves. CCM ni washindi tu we ngoja uone 2015 we si umeona maandalizi!
 
rais kikwete ametahadharisha vitendo vya rushwa vinavyoendelea ndani ya chaguzi za ccm kwamba vitaibomoa ccm ambayo tayari imeshaanza kupoteza imani kwa wanachama wake na makada wake ambapo tayari wameshaanza kukihama chama hicho kwa kasi
vilevile rais ameuthibitishia umma kwamba ccm kwa sasa ni kiwanda cha kuzalisha wala rushwa na mafisadi kwa ujumla hivyo basi ni watu wasiokuwa wazalendo na ni hatari kwa maendeleo ya taifa letu.
akuli hyo ya mh.rais ni sawa na kuithibitishia chadema ushindi kwa sababu watanzania wametokea kuiamini chadema kuwa ni tumaini jipya katika ukombozi wa mustakabali wa maisha ya watanzania hasa vijana ambao wengi wao wameshakata tamaa kutokana na utawala dhalimu wa ccm unaowanyonya.


MY TAKE

Ndugu zangu watanzania wote tumeshudia ccm inavyoendesha chaguzi zake za ndani kwa rushwa (kununua viongozi) ni lazima tujue ya kwamba mtu anatoa pesa kwa kutegemea kuja kuirudisha siku akiingia madarakani kwa sababu hiyo basi
kwa vyote viongozi wa aina hiyo lazima wapore rasilimali za nchi yetu ili kurejesha fedha zao walizohonga ili kuupata uongozi
naomba tushirikiane kwa pomoja kuiangamiza ccm kwa sababu kwa sasa chama hicho ni janga la taifa.

Wengine tumesha bomoa bomoa kuta zake karibu zote bado tu paa kudondoka lenyewe na tunachukua tahadhari lisije angukia mtu na kwenda naye kuzimu hilo tu mengine yote tayari...
 
Chadema, vipi utaratibu wa kufungua matawi vijijini? Naomba anayejua anipe updates!
 
jiulizeni kama ccm inatumia zaidi ya million 500 kwenye chaguzi zao wenyewe wakija kukabiliana na cdm watatumia kiasi gani?
 
CCM karibuni tuongee business nauza kitambulisho changu cha kupigia kura, bei maelewano down payment shilingi bilioni tatu (3,000,000,000/=) tu. Napatikana e-mail mundali@yahoo.co.tz au mobile number 0799-002015.
 
Back
Top Bottom