Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MH. Rais hapa ulichemka !!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by EL MAGNIFICAL, Dec 25, 2011.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nianze na salam kwako !
  Sina hakika sana kama jina la ndugu Phillipo mlugo ni geni kwako....
  Huyu bwana ni mmiliki wa shule moja iliyopo mbeya inaitwa southen highland kabla ya kuwa naibu waziri wa elimu alikuwa ni mkurugenzi wa shule tajwa hapo juu lakini kati ya mwaka 2005 mpk 2008 shule yake ilifungiwa kwa miaka 2 baada ya kuvujisha mtihani wa kidato cha 4.... Je kumpa unaibu waziri ktk wizara ya elimu huoni kama umeweka mdokozi jikoni !! Naonaga jinsi anavyojifanya mchungu ktk shule nyngne zinazokiuka taratibu lakini kiukweli mwizi akiibiwa huona ameonewa !!!
  Nawasilisha..
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,221
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  mpigie 0754 777775
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,349
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu! Mkuu ni ya kweli haya?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa rais atakuwa alidanganywa na watendaji wake!....
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 31,197
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  kwelii hii nchi ...
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,016
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli basi tumeingizwa chaka mbaya.
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 19,096
  Likes Received: 6,757
  Trophy Points: 280
  hii ni ya nani
  muheashimiwa dr dr dr
  or mkurugenz wa shule
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,858
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Sasa cha ajabu ni nini kwa Jk?
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,349
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Ijaribu tuitapokelewa
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  "Serikali ya kishikaji ya JK" BY wanafunzi wa UDSM.......
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona nimepiga hii simu anapokea dada mmoja ni changudoa na anasema anauza baa moja pale Sinza anasema inaitwa Masiga Bar,maana nimempigia tu aliposikia sauti ya kiume kaanza kuweka plan tukutane wapi....au ulikuwa unapiga maji ukajisahau ukairusha hapa JF.......
   
 12. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,014
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Wacha nitizame kwanza Channel ten Kuna kipindi cha Usalama Barabarani ndani ya ARRISSALAH

  Sheikh vs Polisi kamanda
   
 13. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,488
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tukianza kuchunguza sifa za mmoja mmpja hatutafika nadhani sifa kubwa ya Mkurugenzi kupita bila kupingwa basi
   
 14. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  JK kuteua vimeo ni kawaida yake. Nakumbuka aliwahi kumteua DC huko Shinyanga wakati jamaa ana kesi ya rushwa mahakamani kama sijakosea
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Naona umeamua kumpigia mbuzi gitaa!
   
 16. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,477
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Shibe ya pilau la X-mass inakusumbua.
   
 17. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sawa ntajitahd boss
   
 18. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  amini ninachokwambia unaweza ukafanya uchunguz binafsi hapa mby mjn kujua hili !!!
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bwana paka ktk ili ndo utaona plez dah kabebeshwa mzgo mzto kikatiba
   
 20. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  na kwa taarifa zilizopo jamaa anawakomesha kinoma ma afisa elimu walio mzingua enzi izo
   
Loading...