Mh. Pinda yu wapi?

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
wana jf...
nipo concern na waziri mkuu wangu mh. pinda mtoto wa mkurima, yu wapi huyu mzee ni siku nyingi simsikii nimepata habari zisizo rasmi kuwa alienda kimatibabu nje ya nchi, vp hari yake?
 
Back
Top Bottom