Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
Mh. Mizengo Pinda anaonekana TBC1 sasa hivi akiwa anaongea na mama yake mzazi kuhusu changamoto za kilimo kwanza. Mama yake anaonesha wazi wasiwasi juu ya utekelezaji na kufanikiwa kwa mpango na sera ya kilimo kwanza. Nimefurahishwa na mama mzazi wa mh. Pinda anavyoweza kuona usanii wa CCM na serikali yake katika kutatua matatizo ya wakulima wa Tanzania