Mh. Pinda, Budget ya 2011/12 ya Tshs 5,432,075,207 imeisha?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wanajf mpaka sasa sijui huwa inakuwa maana serikali yetu inakuwa na matumiza ya hajabu

Hivi wizara ikipangiwa fungu fulani linalibaki uwa linaenda wapi?

Mwaka jana serikali ilitoa bugdet ya Tshs 5,432,075,207 Vote 25 kwa prime minister (see attached)

Je hii mihela yote imeisha?

Je budget mpya huwa zinaonyesha residual amount from previous budget?
 

Attachments

  • VOTE%2025%20Prime%20Minister.pdf
    83.7 KB · Views: 38
Back
Top Bottom