Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

hii haiingi akilini kuwa katibu mkuu atoe tamko la kumrudisha huyo jairo bila idhini ya mkuu wa nchi

Wewe unaleta habari za uzandiki hapa. Pinda ameshatoa tamko kwamba Jairo kasimamishwa kazi tena, au unafikiri TV unayo wewe tu?

WEWE NAWE TUACHE TUJADILI VP TAIFA LITAKOMBOLEWA WATU KAMA NYINYI HATA KWETU MPO ATUKUTAKI HAPA KWENYE KUPIGANIA UHURU .

CAG alisema kwamba utaratibu wa kuchangisha fedha za kuwasilisha bajeti ni wa kawaida. Japo hili linashangaza kwani kila Wizara huwa na bajeti ya kuwawezesha kuandaa na kuwakilisha bajeti.
Pinda ni Mwoga mno! Ameshaonja utamu wa Ufisadi anaogopa kumwaga unga.

Yule Mwanamuziki wa Kenya aliyeimba ule wimbo wa JK Kigeugeu, Pinda Kigeugeu, anaitwa nani vile!

anaitwa Jaguar wa kenya

CAG alisema kwamba utaratibu wa kuchangisha fedha za kuwasilisha bajeti ni wa kawaida. Japo hili linashangaza kwani kila Wizara huwa na bajeti ya kuwawezesha kuandaa na kuwakilisha bajeti.
Pinda ni Mwoga mno! Ameshaonja utamu wa Ufisadi anaogopa kumwaga unga.

Yule Mwanamuziki wa Kenya aliyeimba ule wimbo wa JK Kigeugeu, Pinda Kigeugeu, anaitwa nani vile!

Kwa hiyo leo hii CAG ndie anataka kutakasa hilo jambo kuwa kuchangishani ni jambo la kawaida huku akijua hiyo ni dalili za rushwa CAG anatete rushwa kweli hii nchi ndio kabisa inatokomea kwenye uozo ulio kithiri, Sheria au utaratibu wa wizara zote ndio huo kama ndio huo basi serikali yote ni wezi wakubwa, wanafuja mali za UMAMA na CAG mwenyewe ni Fisadi wa kwanza(na elimu aliyo nayo huyo CAG ana Familia kweli??) maana haiitaji mtu kuchukuwa PhD kusoma hizo alama jibu liko wazi kabisa twajua watendaji wa wizara zote huwa wana fungu lao wakati wakienda kikao cha bunge kama kuna kuwa na uandaaji wa Budget sasa leo mwatuambia ati ni utaratibu sasa wizara zote zikifanya hivyo ni pesa kiasi gani zapotea?? Its Corruption hiyo wasitupimie upepo huyo CAG,Luhanjo,Takukuru,Usalama wa Taifa this time we wont shut our mouth na tuta simamia hili mwaliona dogo sasa ndio lita zaaa baraaa kweli,

Hivi hawa viongozi wanajua nini kilicho wasibu raia pindi cha mgao huu wa umeme unao endelea na kipindi cha uhaba wa mafuta still CAG anatetea upuuzi inamaaana Wizara ya Nishati na Madini watu wako pale kula pesa tu na sio kupanga mipango ya kulikwamua taifa kutoka kwenye janga la Giza hell no its despicable

HAKUNA CHA PINDA, HAKUNA CHA WABUNGE, Let say Pinda hajui chochote, ye ni mzubafu, na aliropoka tu, lkn aliropoka akiwa bungeni, yawezekana cc hatukusikia vema kupitia runinga, wabunge wote nao?? Amri ya Jahiro kusimamishwa ilianzia bungeni, majukumu ya Jahiro (iliyo kawaida) hayakua yanajulikana kwa Pinda, wabunge wote pia?? kawaida iliyopelekea uchunguzi? Basi kwanini Pina asipelekwe training? Maana atakuja kushtuka tena

Itafika wakati tutawashuhudia hawa viongozi wetu wakiwa wanatoa matamko tofauti yanayojikanganya kila siku.

Baada ya Kumaliza kufuturisha mwezi huu ukiisha sijui ratiba JK inasemaje! Kwa anayempangia ratiba plizzz!!!!

ataenda kujipumzisha visiwa vya Maldives na Malta baada ya mwezi mgumu wa saumu, mnaweza kuendelea mnaofahamu zaidi..

Wala CAG, Cshangai kufikia hapo, kama wanaweza kuwaamuru majaji kufanya maamzi, hata yeye anaweza kuwa hvyo, make ndo mara ya kwanza nasoma report ya CAG, iliyokisiasa zaidi, haku2mwa kwenda kuchunguza usahih wa figure, pia kwa kanun za fedha kuna utaratibu wa ku2mia fedha nje ya budget cjui ka zilienda kwenye idara bila kuwa kwa budget bt hajasema! Pia wamefanya double payment ktk idara, wanalipwa n wizara inalipa kwa k2 kile kile hata haipendez

Itafika wakati tutawashuhudia hawa viongozi wetu wakiwa wanatoa matamko tofauti yanayojikanganya kila siku.

Baada ya Kumaliza kufuturisha mwezi huu ukiisha sijui ratiba JK inasemaje! Kwa anayempangia ratiba plizzz!!!!

Atajiunga na wanaanga wa NASA kwenda anga za juu

Huyu baba wa watu amekuwa demoralised mno amefanywa kama dampo la kutupia uchafu wa serikali na anatolewa kafara mara nyingi na hivyo amepoteza kabisa confidence na anaposhindwa kujibu maswali ni sahihi kabisa. Hapo ajui ni bomu gani tena litamwangukia kutoka kwa mzee wa kutokota!!!!!

lazm akose confidence kwakuwa anayofanya hayatoki moyoni mwake. Amechoka.

pamoja na kujiita mtoto wa mkulima sikuwahi kuona waziri mkuu ovyo kama huyu.inawezekanaje mtoto wa mkulima anavaa suti na ameishi ikulu tangu mwaka 1972?

Wewe unaleta habari za uzandiki hapa. Pinda ameshatoa tamko kwamba Jairo kasimamishwa kazi tena, au unafikiri TV unayo wewe tu?

Ni mara ngapi Pinda katoa tamko na likawa tamko kweli? Wakati yeye analialia, mwenzie anachekacheka.

I wish kesho ndo ingekuwa the next general election.nimechoshwa na hii sura ya serikari kwa sasa.

Back
Top Bottom