Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830

CAG alisema kwamba utaratibu wa kuchangisha fedha za kuwasilisha bajeti ni wa kawaida. Japo hili linashangaza kwani kila Wizara huwa na bajeti ya kuwawezesha kuandaa na kuwakilisha bajeti.

Pinda ni Mwoga mno! Ameshaonja utamu wa Ufisadi anaogopa kumwaga unga.

Yule Mwanamuziki wa Kenya aliyeimba ule wimbo wa JK Kigeugeu, Pinda Kigeugeu, anaitwa nani vile!</fqont>

jamaa anaitwa JAGUAR, yaani ni kigeugeu, kigeugeu, kigeugeu, kigeugeu, naomba mnipokee hii korasi, haya twende kwa pamoja, kigeugeu, kigeugeu, kigeugeu, kigeugeu, kigeugeu