Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV jana umechemka sana

mtoa maada unamaksudi na najua ulimuelewa Msigwa shida unataka kupotosha kwa watu wenye akili fupi humu na naona kweli wanakusupport utumbo wako huu.

Hoja ilikuwa je ni halali raisi kuchepusha matumizi na kuelekeza sehemu nyingine? unasema hela za sherehe unazipeleka kutengeneza barabara au hata kwenye matibabu, taasisi yako ya uraisi inaruhusiwa kufanya hivyo? kwa uelewa wa kawaida.matumizi ya serikali hubadirishwa bungeni kwa hiyo taasisi mahsusi sio raisi ni bunge, umeshindwa kuelewa nini hapo?

kama unaona sawa basi ili kubana matumizi budget hakuna haja ya kikao cha bunge si akapange raisi? tutakuwa tumeokoa hela nyingi zaidi? hivi kweli huelewi au?

Unanikumbusha enzi za yesu ambapo sheria ya ilikuwa inasema siku ya sabato hurusiwi kufanya chochote. Yesu awauliza je ni vema kufanya jambo jema siku ya sabato? Na mimi nakuuuliza je ni jambo jema kuvunja sheria kwa maslahi ya nchi ama kufuta sheria na kutapanya pesa ya wavuja jasho kwa maslahi ya wapamba mapambo wa uwanja wataifa?.
 
Sasa mbona hoja unaielewa lakini unaandika uongo hapo? sijakataa nia njema ila hii ni nchi watu huishi kwa kufuata sheria not otherwise!

Mfano je ukimkuta upenuni kwenu mtu.yuko utupu na nguo pekee ambayo inaweza kumtosha iko kwenye kabati ya baba utaenda kuchukua pamoja na nia mjema yako? si laazima umuambie baba? life is principle not otherwise! bunge ndio baba na linatakiwa ndio liidhinishe budget sio raisi na anakosea saana na nyie washangiliaji mnafanya badala ya raisi kuwa mzuri anakuwa otherwise!
 
Inamaana Kujenga Barabara ya Moroco mwenge ni uvunjifu wa Sheria?
 
Yaani mimi ninasikitishwa sana na tabia ya huyu Msigwa hadi basi tu, Watu wairinga tumeliwa na wala hatuonyeshi kukerwa na huyu mchungaju fake. Msigwa naona amechanganywa sana na akina Lowassa na Lazaro Nyalandu kwa pesa walizompa mpa za Kifisadi.
AABC-Durban hiki ni chuo gani alichopitia mheshimiwa Msigwa?
 
hii CV ingekuwa ya Nape hapa kusingekalika,

Parliament of Tanzania

AABC-Durban Bachelor 2004 2004 Bachelor
AABC-Durban Diploma 2001 2003 Diploma
AABC-Durban Certificate 1999 2000 Certificate
Sangu Secondary School CSEE 1983 1986 Secondary School
Magoye Primary School CPEE 1977 1981 Primary School

Hiki chuo nimekitafuta nataka kumpeleka mwanangu lakini nimeshindwa kupata details zake anayekijua naomba anisaidie
 
elimu inakufa nyie mnashangilia tu, kwa sababu hamuezi kufanya hata utafiti mdogo tu, chunguzeni ni shule ngapi zimefanikiwa kufanya mitihani mid term? zimeshindwa kwa sababu ya shule kutojitosheleza kifedha
 
hii CV ingekuwa ya Nape hapa kusingekalika,

Parliament of Tanzania

AABC-Durban Bachelor 2004 2004 Bachelor
AABC-Durban Diploma 2001 2003 Diploma
AABC-Durban Certificate 1999 2000 Certificate
Sangu Secondary School CSEE 1983 1986 Secondary School
Magoye Primary School CPEE 1977 1981 Primary School

Hiki chuo nimekitafuta nataka kumpeleka mwanangu lakini nimeshindwa kupata details zake anayekijua naomba anisaidie

Hehehehe
 
Do hiki chuo hakina website
 
Muda mwingine naona wapinzani wanajiharibia tu msigwa huwa namkubali ila siku ile hakuwa straight anazungukazunguka tu
 
magufuli effect! kitila mkumbo" ccm icpo Fanya makosa upinzani tz utakufa" na hii ndo symptom yake, wamekua vigeugeu sana wako radhi wawatetee wabadhirifu ambao mwanzo hawakuwataka kabisa! vyama vyetu havina misingi ndo tatizo Kubwa! mnyika kakaa kmya anaonekana anabusara
 
Kama vile amesahu ahadi za Ukawa kutoa elimu bure kuanzia Darasa la kwanza hadi chuo kikuu. Jana Msigwa alipinga vikali swala la elimu bure huku akipata kigugumizi kujibu kwa ufasaha Maswali ya Muandishi wa ITV. Kwa hili kweli kabisa Mimi nimekushusha kabisa kwasababu Muitikio wa elimu bure ni mkubwa sana na kila mtu anafaidi keki ya Taifa kupitia hili la elimu bure na bila shaka ni jambo bora kabisa kumpa mtoto wa kitanzania elimu.

Pili ni kupinga swala ya Kubana matumizi hasa kutotumia hela kwenye sherehe na kuzielekeza kwenye Maendeleo ni jambo jema kabisa kila mtu analisapoti kasoro wewe tu Mtumishi. Magufuli anania ya dhati kuua Siasa za kuropoka ropoka . Zije siasa za watu wabunifu kama Professa J maneno machache vitendo vingi.

Keep Up Professa J.
Pascal Ndege, hivi na wew kuna elimu bure!
Unathubutu kupeleka mtoto shule ya bure!
Kwa taarifa yako elimu ndo imezikwa rasmi, nafikiri TUACHE USHABIKI WA SIASA ZA UKAWA NA CCM tuwe realistic wakuu.
Kwa sasa shule nyingi za serikali hakuna waalimu wa sayansi na hesabu unajua kwanini?
Kabla ya elimu bure walimu wakuu walikuwa wakuu walikuwa wanatumia pesa za taaluma kulipa waalimu walio kuwa wanaajiriwa kwa muda, lkn baada ya agizo la elimu bure wakuu wa shule hawana tena namna ya kuwalipa waalimu hawa so wanafunxi wengi hawasomi masomo haya.
Wakuu tunashabikia siasa lakini linateza taifa, fanya utafiti wa kina juu ya hili nadhani hutashabikia haya matamshi ya wanasiasa tena. Hali ni tete upande wa elimu zaidi ya haya
 
Kijana upo tayari kwenda Hospitalini wakakupime akili?
Lowassa4.jpg
[/
QUOTE]
Hiyo picha inatukumbusha mbali tulikotoka. Hivi yule aliyeinama ni nani na anamaanisha nini?
 
Hiyo picha inatukumbusha mbali, siku tuliyozaliwa upya!! Hivi huyo aliyeinama ni nani na alikuwa anamanisha nini vile?
 
Hiyo picha inatukumbusha mbali, siku tuliyozaliwa upya!! Hivi huyo aliyeinama ni nani na alikuwa anamanisha nini vile?
Hii picha mkuu unaweza kuiandikia hata tasnifu kabisa. Hebu waone wachumia tumbo akina Baregu walivyosimama utafikiri vitoto vya shule vinakaguliwa na mwalimu. Body language hapa haiko sawa kabisa. Hebu mwangalie Mzalendo wa kweli na MwanaCHADEMA halisi Dr. Slaa. Nafsi inamsuta na haamini kilichokuwa kinatokea. Hii ni picha ya kihistoria na huko mbele ya safari itatumika kufundishia vizazi vijavyo kuhusu political strategizing, tamaa ya pesa, madaraka, njia za mkato (aka gia za angani) na ukengeufu wa wanasiasa na binadamu kwa ujumla....and probably the exact moment when true opposition died in this country!
 
Kijana upo tayari kwenda Hospitalini wakakupime akili?
Lowassa4.jpg

dar huwa nangaliaga hii picha na ilo pozi la PROFE SAFARI na DR slaa nikakumbuka kile kitabu cha thing fall apart , yaan yote hayo ni kwa sababu ya kumkaribisha lowasa ndo mambo yakanza kuvurujika , slaa akatoka , edo akaingia kwele pesa mwanaharamu
 
MSIGWA ACHA KUPOTOSHA NYUMBU WENZAKO

JANA katika kituo cha ITV Mbunge Msigwa Wa Chadema alikuwa akihojiwa na kuanza kuongea vitu kama mtu asiyejielewa, Anasema elimu bure haina faida wakati anasahau wao chadema Sera yao kubwa ni elimu bure, sasa najiuliza ni kweli analia elimu bure haina faida au ana lia Chadema hawatakuwa na Sera nzuri tena kwa serikali kutekeleza Sera ya elimu buure??

Ndg Msigwa hebu tumia akili na busara, kwa ujinga ulioongea Jana ITV sithubutu kukuita tena Mchungaji kwani ni aibu Taifa letu kuwa na mchungaji WA type yako, Muingo, mnafiki , asiyeheshimu wazee wake, eti unasema Mwl Nyerere na sokoine walifell kutoa elimu bure?? Shame upon you, huwezi kuwa Muongo kiwango hichi cha lami, hebu jitathmini , na kama Chadema mmeiishiwa Sera hebu kaaeni kimya sio kutumia vyombo vya habari kupotosha Wajinga wenzenu kwani wenye akili hawawezi kubaliana na pumba zenu. HEBU MSIGWA BADILIKA TUMIA AKILI KUFIKILI SIO TUMBO ,ACHA KUPOTOISHA NYUMBU WENZAKO
 
Back
Top Bottom