Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV jana umechemka sana

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kama vile amesahu ahadi za Ukawa kutoa elimu bure kuanzia Darasa la kwanza hadi chuo kikuu. Jana Msigwa alipinga vikali swala la elimu bure huku akipata kigugumizi kujibu kwa ufasaha Maswali ya Muandishi wa ITV. Kwa hili kweli kabisa Mimi nimekushusha kabisa kwasababu Muitikio wa elimu bure ni mkubwa sana na kila mtu anafaidi keki ya Taifa kupitia hili la elimu bure na bila shaka ni jambo bora kabisa kumpa mtoto wa kitanzania elimu.

Pili ni kupinga swala ya Kubana matumizi hasa kutotumia hela kwenye sherehe na kuzielekeza kwenye Maendeleo ni jambo jema kabisa kila mtu analisapoti kasoro wewe tu Mtumishi. Magufuli anania ya dhati kuua Siasa za kuropoka ropoka . Zije siasa za watu wabunifu kama Professa J maneno machache vitendo vingi.

Keep Up Professa J.
 
Hata mimi nilimdharau sana. Anaanza kueleza kuhusu akina nyerere na sokoine eti siasa zao zilishindwa. Sasa yeye na chadema siasa zao zimeshinda? I look at this guy as hopeless person in our society.

ENYI CHADEMA KAMA HAKUNA LA KUSEMA KWA WATANZANIA KAENI KIMYA BADALA YA KUPAYUKA PAYUKA MKIFIKIRI WATANZANIA WOTE BADO WAPUMBAVU. KAMA NI UTAPELI MKAUFANYIE HUKO MITAANI KWA WASIO NA SHULE DONT GO TO PUBLIC AND THINK YOU ARE THAT MUCH GENIUS JUST BECAUSE YOU ARE FROM OPPOSITION PARTY.

SHAME ON YOU.
 
Unajua maana ya upinzani?

Upinzani upo kwa ajili ya ku-criticize and complain haijalishi serikali inafanya vyema au la.

Kitu pekee ambacho wabunge wa upinzani na CCM huwa kitu kimoja ni kwenye kutetea posho zao.
Upinzani ni kupinga kila kitu
 
Unajua maana ya upinzani?

Upinzani upo kwa ajili ya ku-criticize and complain haijalishi serikali inafanya vyema au la.

Kitu pekee ambacho wabunge wa upinzani na CCM huwa kitu kimoja ni kwenye kutetea posho zao.
Wacha upumbavu....Msigwa anapinga Elimu bure..je Ukawa wangeshinda na waliahidi elimu bure hadi chuo kikuu?...huo upuuzi wenu wa ukawa haukuwa na ilani.
 
Asante kwa kunielimisha kumbe upinzani nikupinga kila kitu, hata kama hoja inamashiko unapinga. Hizi Siasa za kupiga Dill, zakibongo kiboko.
 
Unajua maana ya upinzani?

Upinzani upo kwa ajili ya ku-criticize and complain haijalishi serikali inafanya vyema au la.

Kitu pekee ambacho wabunge wa upinzani na CCM huwa kitu kimoja ni kwenye kutetea posho zao.
Chukua bia ya mbeho kwa bill yangu mkuu. Ndugu umesema kweli kabisa, ndiyo maana hua nashangaa humu sisi kina kajamba nani tunatukanana kila kukicha ati tunatetea vyama, hawa jamaa ni waigizaji wawe CCM ama Upinzani wote wapo pale kwa maslahi yao binafsi. Ukiona mtu anaenda mpaka mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi awe CCM ama Upinzani ujue kuwa alikwenda pale kwa maslahi binafsi. Wenzetu walioendelea ukishindwa uchaguzi ni kigezo cha kutowekwa tena na chama chako uchaguzi ujao. lakini hapa kwetu mambo siyo hivyo watu wanang'ang'ania ubunge na Urais tangu bado nipo shule mpaka sasa mpaka nina watoto wanaruhusiwa kupiga kura bado wapo tu. Hatari sana.
 
Hoja ya msingi ya Msigwa ilikuwa kuzingatia sheria tulizojiwekea! Fedha za sherehe zilizofutwa zilitakiwa serikali iziombee matumizi mapya kutoka bunge. Kwani moja ya majukumu ya bunge ni kuidhinisha matumizi ya fedha za umma katika shughuli yo yote; iwe ya maendeleo au kijamii!!

Si utawala bora hata kidogo kwa serikali kwa maana ya wizara na taasisi zake au Rais mwenyewe kubadilisha matumizi ya fedha za umma bila kibali cha bunge.!!
 
Msingwa huwa nikimuangalia anavoongea tu nacheka sana huyu ni zaidi ya joti.
Mtake radhi Joti mkuu, Msigwa hawezi kuwa kama Joti. Ukiona mtu anaitwa Mchungaji halafu anataka kupigana hadharani ujue huyo ni msiba mkubwa hana tofauti na yule mchungaji anayewalisha waumini wake majani kama mbuzi. Sijui huo uchungaji kausomea ama ni kama wale walokole wakienda Kenya wiki sita wakirudi wanapadirishwa kuwa wachungaji ama upande wa wenzetu wale vijana wakiingia madarasa wakiweza kukariri Korani wanajiita ma Imam kama kina Kundecha kutoka kuwa kibarua wa fundi umeme mpka kuwa Imamu.
 
Tulishasema Msigwa ni kichaa anastahili kwenda milembe kuishi huko (Maana yeye mwenyewe Kwa kauli yake aliwahi kusema wanaomshabikia fisadi lowasa wakapimwe akili-akimaanisha wanaupungufu wa akili). CHADEMA tulishafanya matanga siku nyingi tangu walipomkaribisha mamvi, na kumfukuza mzalendo. Na katibu mkuu mpya waliyemleta ndiyo ovyo kabisa yaani Yule jamaa ni mchumia tumbo hawezi hata kujieleza, na Kwa kifupi akina mbowe wajue wasukuma hawana ukabila kama wachaga maana kama walimpitisha ili kuteka watu wa kanda ya ziwa wameliwa.
 
Kama vile amesahu ahadi za Ukawa kutoa elimu bure kuanzia Darasa la kwanza hadi chuo kikuu. Jana Msigwa alipinga vikali swala la elimu bure huku akipata kigugumizi kujibu kwa ufasaha Maswali ya Muandishi wa ITV. Kwa hili kweli kabisa Mimi nimekushusha kabisa kwasababu Muitikio wa elimu bure ni mkubwa sana na kila mtu anafaidi keki ya Taifa kupitia hili la elimu bure na bila shaka ni jambo bora kabisa kumpa mtoto wa kitanzania elimu.

Pili ni kupinga swala ya Kubana matumizi hasa kutotumia hela kwenye sherehe na kuzielekeza kwenye Maendeleo ni jambo jema kabisa kila mtu analisapoti kasoro wewe tu Mtumishi. Magufuli anania ya dhati kuua Siasa za kuropoka ropoka . Zije siasa za watu wabunifu kama Professa J maneno machache vitendo vingi.

Keep Up Professa J.
huyo hata akiambiwa kuna bajeti ya barabara la kwenye jimbo lake atapinga
 
Hoja ya msingi ya Msigwa ilikuwa kuzingatia sheria tulizojiwekea! Fedha za sherehe zilizofutwa zilitakiwa serikali iziombee matumizi mapya kutoka bunge. Kwani moja ya majukumu ya bunge ni kuidhinisha matumizi ya fedha za umma katika shughuli yo yote; iwe ya maendeleo au kijamii!!

Si utawala bora hata kidogo kwa serikali kwa maana ya wizara na taasisi zake au Rais mwenyewe kubadilisha matumizi ya fedha za umma bila kibali cha bunge.!!
Ki ukweli hapo umesema kweli magufuli alitakiwa kusubiri bunge lipitishe hiyo budget maana anavyofanya utadhani ni kampuni binafsi hata kampuni binafsi watu huwa wanafanya forecast siyo unaamka tu na kupeleka pesa mahali popote bila kuwa na budget hiyo ndiyo ingekua point ya upinzani kuliko kukosoa tu wakati mwanzo walisema Rais kaiga kutoka katika ILANI yao. Lakini tutafanyaje ndiyo Tanzania yetu hiyo wanasiasa wote ni watu wa matukio na nini viongozi wao wanasema wao kazi kufuata bila kutafakari kwa kina. UK wanajiandaa kufanya kura swali kubwa katika kura yao ni kutoka ama kubaki katika EU na Mawaziri wa serikali iliyopo madarakani wamegawana kuna wanaomuunga waziri mkuu na wengine wanampinga boss wao na wana UHURU huo na hapo ni suala la kitaifa wahasimu wamekua marafiki. Lakini hapa kwetu kitu kama hicho kutokea mtu anaitwa msaliti mpaka hapa kwa Ma GREAT THINKER wanaomzidi hata Galileo humu JF
 
Wacha upumbavu....Msigwa anapinga Elimu bure..je Ukawa wangeshinda na waliahidi elimu bure hadi chuo kikuu?...huo upuuzi wenu wa ukawa haukuwa na ilani.

You're too dull to understand!!

Ewe punguani,pita leo sina matusi.
 
Kama vile amesahu ahadi za Ukawa kutoa elimu bure kuanzia Darasa la kwanza hadi chuo kikuu. Jana Msigwa alipinga vikali swala la elimu bure huku akipata kigugumizi kujibu kwa ufasaha Maswali ya Muandishi wa ITV. Kwa hili kweli kabisa Mimi nimekushusha kabisa kwasababu Muitikio wa elimu bure ni mkubwa sana na kila mtu anafaidi keki ya Taifa kupitia hili la elimu bure na bila shaka ni jambo bora kabisa kumpa mtoto wa kitanzania elimu.

Pili ni kupinga swala ya Kubana matumizi hasa kutotumia hela kwenye sherehe na kuzielekeza kwenye Maendeleo ni jambo jema kabisa kila mtu analisapoti kasoro wewe tu Mtumishi. Magufuli anania ya dhati kuua Siasa za kuropoka ropoka . Zije siasa za watu wabunifu kama Professa J maneno machache vitendo vingi.

Keep Up Professa J.
Umeshindwa nini kuenda wewe ukahojiwa badala ya mh msigwa?
 
Kijana upo tayari kwenda Hospitalini wakakupime akili?
Lowassa4.jpg
 
Attachments

  • Lowassa4.jpg
    Lowassa4.jpg
    25.3 KB · Views: 68
Wanako upeleka upinzani binafsu sifurahishiwi nako hats kidogo. Wanadhani kuwa mpinzani no lazima kupinga kila kinacho fanywa na serikali hata kama kikiwa kizuri. Kumbe kwa uelewa wangu upinzani ni kutoa mawazo mbadala ambayo ni chanya kwa serikali iliyopo madarakani.
 
Back
Top Bottom