Mh!!!!! Nguvu ya umma ni dhambi.....?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
jana majira ya saa nne kuelekea saa tano,kituo cha habari cha chanel ten kilikuwa na kipindi ambacho kilinisikitisha sana....
Shekhe mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu "nguvu ya umma" cha kushangaza kiongozi huyu wa dini alikuwa akisema kulingana na vitabu vyetu vya dini nguvu ya umma kuwang'oa viongozi wabadhirifu ni dhambi,na akawasihi waumini wake wasikubali kuungana na hiyo nguvu ya umma.....naheshimu sana viongozi wangu wa dini awe shekhe,padri,askofu,mchungaji nk..lakini kwa hili naomba kumuomba yule kiongozi aache kutumiwa na hawa wahuni wanao tafuna nchi yetu....napenda kumuuliza huyu kiongozi

  • hawa viongozi hanaowatetea walipoingia madarakani kwa kuchakachua matokeo ilikuwa halali?
  • hawa viongozi wanapotafuna maliasili za kainchi ketu kwa manufaa yao na watoto wao ni halali?
naomba huyu kiongozi ajue kuwa anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.....
 
naamini hapa TZ hakuna shekhe hata mmoja anayeweza kusema anawazidi mashekhe wa TUNISIA, MISRI ama LIBYA kwa uelewa na usahihi wa kufuata na kujua dini ya kiisilam na hao ndo wamekuwa wa kwanza kutoka nje na kutembea mitaani na hata kulala nje mpaka kikaeleweka!!
 
Unajua udini unaanza kutafuna hii nchi. Mtu akihisi tu kwamba upande mwingine ndiyo umeasisi kitu basi wata tafuta njia za kupinga hicho kitu na kuta futa justification hata kama hicho kitu kina manufaa kwa taifa zima. Ndiyo maana tunaona baadhi ya watu wakipinga kuwepo shule na hospitali za kanisa japo wenyewe wana wapeleka wanao kusoma huko na kwenda kutibiwa huko.

Binafsi I am a TANZANIAN who happens to be a Christian not a Christian who happens to be a Tanzania. Kitu chochote chenye faida kwa Watanzania kwa ujumla nita kisupport bila kuangalia kime asisiwa na nani. Ndiyo maana hata Waislamu waki sema wao waliasisi harakati za uhuru wa Tanganyika sina neno kwa maana zili tunufaisha wote.
 
huyo shekhe wa msikiti au madrasa sidhani kama shekhe msomi anaweza kuongea kwenye public media utumbo kama huo!
 
Huyo Sheikh anajua historia kweli? Hivi anajuwa Shah wa Iran aliondoka kwa njia gani madarakani? Na jee Iran ni taifa la kiislamu au la kipagani? Au anataka watu washike bunduki kuwaondoa watawala dhalimu badala ya mandamano ya amani?To hell with such blind religious leader
 
Watu walipigana Jihad kutetea haki zao sembuse kuandamana!
Siamini kama kiongozi wa Kiislamu anaweza akatamka maneno hayo, nahisi amenukuliwa vibaya.
 
wewe ukiona hivyo basi jua tu kuwa hao wanalipwa na kutumiwa na serikali yenu.
Hapo ndio mjue kuwa hii vita ya ukombozi itachukua mda sana kwa sababu bado kuna mamluki wengi sana wanaotumiwa na hao mafisadi kuendelea kudanganya wenzao.
Lakini hata wafanyeje , "hakuna marefu yasiyokuwa na ncha".
Siku zinakuja hata hao wanaotumiwa watakapo choka na kusema basi inatosha basi hapo ndio ukombozi wa ukweli utakapotimia.
 
Watu walipigana Jihad kutetea haki zao sembuse kuandamana!
Siamini kama kiongozi wa Kiislamu anaweza akatamka maneno hayo, nahisi amenukuliwa vibaya.
Hao viongozi wanajua sana kila kitu ,tatizo lililopo ni kwamba wanatumiwa vibaya sana kwa kila kitu
wamepoteza kabisa uzalendo na sasa walilobakiza ni kutetea serikali ya ndugu yao hata kama kuna mabaya
sijui wao hawaoni mfumuko wa bei, sijui wao wana ajira? sijui wao wameridhuka na nini/?/
 
Hata Ghadafi si anaitwa Shekhe? basi kama kweli ni shehe basi sioni ajabu kwa maoni ya huyo shekhe
naamini hapa TZ hakuna shekhe hata mmoja anayeweza kusema anawazidi mashekhe wa TUNISIA, MISRI ama LIBYA kwa uelewa na usahihi wa kufuata na kujua dini ya kiisilam na hao ndo wamekuwa wa kwanza kutoka nje na kutembea mitaani na hata kulala nje mpaka kikaeleweka!!
 
naamini hapa TZ hakuna shekhe hata mmoja anayeweza kusema anawazidi mashekhe wa TUNISIA, MISRI ama LIBYA kwa uelewa na usahihi wa kufuata na kujua dini ya kiisilam na hao ndo wamekuwa wa kwanza kutoka nje na kutembea mitaani na hata kulala nje mpaka kikaeleweka!!
I concur with u
 
Mpikaji wa hopa hizi ni JK mwenyewe, lakini ajue kuwa shimo analochimba ataingia mwenyewe na genge lake, siku yetu ikifika na ambayo haiko mbali hatutawasamehe hawa kwa dhamibi ya kuwagawa watu kwa misingi ya udini ili wao wendelee kutufukarisha.
 
jana majira ya saa nne kuelekea saa tano,kituo cha habari cha chanel ten kilikuwa na kipindi ambacho kilinisikitisha sana....
Shekhe mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu "nguvu ya umma" cha kushangaza kiongozi huyu wa dini alikuwa akisema kulingana na vitabu vyetu vya dini nguvu ya umma kuwang'oa viongozi wabadhirifu ni dhambi,na akawasihi waumini wake wasikubali kuungana na hiyo nguvu ya umma.....naheshimu sana viongozi wangu wa dini awe shekhe,padri,askofu,mchungaji nk..lakini kwa hili naomba kumuomba yule kiongozi aache kutumiwa na hawa wahuni wanao tafuna nchi yetu....napenda kumuuliza huyu kiongozi

  • hawa viongozi hanaowatetea walipoingia madarakani kwa kuchakachua matokeo ilikuwa halali?
  • hawa viongozi wanapotafuna maliasili za kainchi ketu kwa manufaa yao na watoto wao ni halali?
naomba huyu kiongozi ajue kuwa anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.....

Hata mimi huwa nmsikiliza sana ila siku hiyo aliniboa kina kwamba alikuwa katumwa na Juma kilaza... amtetee au anajipendekeza kwake .. simu zake ngumu kupatikana ilikuwa nimuulize je utawala wa kimapinduzi zanzibar ni halal au wa iran . kunampiga simu alimuambia kuwa kipindi cha Mtume (S.W.A) Alisema kilicho kichafu tukiondoe kwa uwezo wetu mimi namuambia J.K. Ni mchafu tumuondoeeeeee namuona anataka kujiingiza kwenye inner cycle ya mkwere sheikh kila afungapo kipindi humuombea Dua jk lakini Dua hazifanyi kazi kwani zinamfanya mkwere azidi kuboronga sababu ni mchafu Dua safi hazimpati Mtu mchafu
 
Tukuchukulia kuwa ulichoandika kuhusu shehe ni cha kweli. Ina maana nchi hii ilianza kutenda dhambi siku nyingi yaani tangu mwaka 1961 ulipopatikana uhuru bendera wa Tanganyika. Yaani ilikuwa ni dhambi kuupinga na kuuondoa utawala wa mkoloni.
 
jana majira ya saa nne kuelekea saa tano,kituo cha habari cha chanel ten kilikuwa na kipindi ambacho kilinisikitisha sana....
Shekhe mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu "nguvu ya umma" cha kushangaza kiongozi huyu wa dini alikuwa akisema kulingana na vitabu vyetu vya dini nguvu ya umma kuwang'oa viongozi wabadhirifu ni dhambi,na akawasihi waumini wake wasikubali kuungana na hiyo nguvu ya umma.....naheshimu sana viongozi wangu wa dini awe shekhe,padri,askofu,mchungaji nk..lakini kwa hili naomba kumuomba yule kiongozi aache kutumiwa na hawa wahuni wanao tafuna nchi yetu....napenda kumuuliza huyu kiongozi

  • hawa viongozi hanaowatetea walipoingia madarakani kwa kuchakachua matokeo ilikuwa halali?
  • hawa viongozi wanapotafuna maliasili za kainchi ketu kwa manufaa yao na watoto wao ni halali?

naomba huyu kiongozi ajue kuwa anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.....
HAPO kwenye Kijani sidhani kama ulimnuku vema huyo unaye mwita Shekhe, maana inawezekana kuna vihiyo pia
 
Back
Top Bottom