Mh. Natse: Watanzania imefika wakati tuseme sasa basi!

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Ndugu zanguni wanabodi naomba tujikumbushe sentensi moja tu ambayo mh. NATSE ALIYEKUWA MENEJA WA KAMPENI WA ARUMERU CDM'. ALISEMA HIVI PALE LEGANGA 'WATANZANIA IMEFIKA WAKATI TUSEME BASI'.

As if Mungu amejibu kwa hali inavyo endelea hapa nchini. KAMA KUNA ANAYEBISHA AMWOMBE kiongozi yeyote wa uwakilishi ajiuzulu aone majawabu. EXCEPT ZENJ.

Source;NILIKUWEPO na Kusikia mwenyewe mwanzo mwisho.
 
Hivi kuna kiongozi aliekuwa anaogopeka kama mubarak?kwa nini watanzania tusiingie barabarani.maana haya mawaziri yetu hayasikii.angalau watu watoke na magari yao wayapaki barabarani ili tuanze mgomo wa nchi nzima.mawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom