Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
Kwani Mwigulu ni product ya wapi? Hawa maprofesa makanjanja ndio wanaoturudisha nyuma, inawezekana UDSM inatoa wahitimu bora lakini namna wanavyotumia elimu zao ndiko kunakofanya watu wajiulize maswali mengi.Mbona wahitimu bora wa UDSM wapo wengi sasa kwanini Mwigulu ndo asemwe vibaya? Hata mimi ningekuwa ni mmoja wa walimu wa Mwigulu kamwe nisingejivunia kumfundisha!
 
Una matusi mabaya sana wee kijana. Inaonekana ukimtusi Kate Middleton, na kimimba kinachoropoka, khaaa!!!

pregnant-kate-middleton-baby-bump-at-queen-scouts-review.jpg

mmeshikwa sehemu nyeti mtulie dawa iingie vizuri waropokaji nyie. Mmejaa matusi hadi kwenye vikwapa
 
uyu babu slaa kisukari kitakua kishampanda,,,apelekwe india kw amatibabu uyu coz siku hizi anaropoka tu
 
Na kama Chuo hicho hakiwezi kutafsiri nini maana ya alichosema Slaa kwamba nao wanatafsiri kama Kilombero yetu, basi hakina hadhi ya kuendelea kuitwa chuo kikuu au ni kweli Mwigulu alifaulu kwa viwango sahihi vya hapo.

Kweli mkuu nadhani wanaotaka ashitakiwe nadhani wana matatizo ya kuelewa neno unless lina maana gani, kauli ya Slaa hii hapa "Kuelewa kuwa Kauli zako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho." hapo wapi amekidhalilisha chuo nadhani wameangalia maneno baada ya unless bila kuangalia maneno ya awali ambayo yanaunda hiyo sentence nzima.
 
na asipoomba chuo kimshitaki maana huwezi kuchafua image ya chuo chenye heshima kama Udsm halafu ukaachwa hivihivi
Mbona mnapenda sana kusahau mambo, Yule DC kule Tanga ambapo DC alimwambia mwanasheria wa Halmashauri ana Degree ya Chupi mbona hamkushabikia ashitakiwe na chuo kilichompa huyo mwanasheria degree ya CHUPI?
 
Hoja zote dhaifu, kila mpishi mzuri siku moja huunga chumvi nyingi, barabara ndefu haikosi kona, mwanamke mzuri hakosi kasoro...hivi hizi si methali za kiswahili? Kwani Mwigulu akiwa Bogas inatisha nini maana Udsm hiyo hiyo imetoa majembe mengine mnayajua yaliko wala si ya kuuliza...ukweli ni kwamba kwa first class ya Mwigulu...kwa Udsm hiyo ni barabara ndefu haikosi kona jamani...! Weekend nawahi kufuturu mie swaumu kali!

sasa huyu prof anataka kutwambia udsm hakuna mabogus na haijawai kuzalisha mabogus? sasa huyu mwigu ametoka wapi?
 
muda mwingine chuo hakiwezi kuzuia ubogus wa mtu na udsm kilishindwa kuzuia ubogus wa savimbi
 
Mambo ya aibu sana Nchi HII, Kama huyu professor ndiye kasema HII makitu najutia siasa Za Nchi HII zimefikia kuwafanya wasomi wetu wehu kiasi hiki? Nani mwenye Uwezo Wa kuhesabu moja hadi Kumi pasipo kusaidiana Na vidole vyake ashindwe kuelewa lati ya sentensi Za wazi Za Dr. Slaa !??
 
prof.gani huyo wa kichina,nchi hii maprof.ni waganga njaa tu hawana lolnte.
 
Huyu Asenga ni mpuuzi sana,hapa ametaka watu wajue tu blog yake ya kijinga....huyu ndo TUMAINI ASENGA..Aliyechukuliwa na faimilia ya JK na kubadili dini na kujiita ABOUBAKAR ASENGA,Upuuzi mtupu
 
Safi sana Dr Slaa, umekandia chuo kikuu ambapo ndiyo kuna wafuasi wako.
 
Kulinganisha ubora wa chuo ulichosoma na ubora wa akili yako ni vitu viwili tofauti.kwa hyo kwa kusema udsm ni chuo bora, ndio nakubali lakin kusema wanachuo wote wa udsm n bora sikubali.kwa hyo unaweza kusoma udsm na usiwe mwanachuo bora CC mwigulu
 
sasa kama mtu anaye jiita profesa ajui maana ya unless tumsaidie nini labda tupitie upya vyeti vyake.

DR SLAA alikuwa clear tuuu angalia
Aidha, Kama Anachosema Mwigulu ni kweli anapaswa kukamatwa,kwani Kama Raia Mwema, toka mwaka 1981 Mwigulu alikuwa na Taarifa ya mtu aliyejifunza mbinu za Brigate Rosse, ambazo ni makundi ya uhalifu na Umafia na Mwigulu amekaa na Taarifa hizo za kihalifu na kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi yetu, mwenye kukaa na Taarifu za uhalifu na yeye ni mhalifu. Anapaswa akamatwe kwa ushiriki wake kwenye uhalifu huo. Katika Hali ya kawaida sina hakika Kama Mwigulu aliwahi kujifunza kitu kinachoitwa logic katika maisha yake. Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho. Kwa maana nyingine, Kama kweli Mwigulu ni Naibu Katibu Mkuu, Serikali aliyoko ni hiyo hiyo ya CCM toka miaka 1977, maana yake ni kuwa Serikali hiyo ambayo inamjua mhalifu muda wote tcoka 1981, inaibuka Leo na kauli tata hivi, wakati Katiba ya CHADEMA ipo kwa Msajili toka mwaka 2006 basi wakubali Serikali ya CCM imeshindwa kuongoza na ilipaswa kujiuzulu siku nyingi sana.

Nadhani nimejieleza ya kutosha. Nawaomba wasomaji wetu wapuuze upuuzi huu wa Mwigulu nchemba.
 
Safi sana Dr Slaa, umekandia chuo kikuu ambapo ndiyo kuna wafuasi wako.

unajua kusoma kwa makinini? unless ni nini?

DR alikuwa clear tuu acha kupotosha
unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho.
 
Nashangaa watu mnakaa kujadili spining za wazi kabisa za kipropaganda!
Sentensi ya Dr Slaa iko wazi hata kwa form two mwelewa.
Ni wapi ambako Dr Slaa amedharau Udsm, hiyo sentensi mbona wengine hatuioni?
Dr Slaa usithubutu kabisa kuomba msamaha kwa jambo lisilo na mantiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom