Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
Acha kutuhadaa we victim uliyekosa Udsm! Habari yako imekaa kinafiki sana

Unamaanisha iliyokuwa udsm au hii hii wanaolala 12 chumba kimoja mabibo au hii hii udsm inayotoa washauri wa baba Ritz?Think big udsm ilishaisha saiv ni kama makumbusho tu!
 
Yote yanayoendelea hapa nchini ni ccm sasa kimekuwa chama cha magaidi..huyu mpumbavu nchemba anatakiwa haraka kufikishwa ze hegi na achukuliwe haraka..ukitafiti mambo kwa undani utaona 1.amepewa cheo hicho ktk chama kwa ajili ya kufanya ujinga huo 2.anahisi anakuza jina lake kumbe anajichafua na kuhatarisha uhai wake 3.ni kama raisi wa jamhuri,kwani kikwete hakohoi mbele ya mjinga huyu...huruma..endelea kujichimbia kaburi mjinga wewe.
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa.

swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?
 
huyu atakuwa ni profesa maji marefu si huyo uliyemtaja na sidhani kama tanzania tuna prof mwenye jina hilo.
 
na asipoomba chuo kimshitaki maana huwezi kuchafua image ya chuo chenye heshima kama Udsm halafu ukaachwa hivihivi
 
Lazima Slaa amsemee vibaya Mwigulu coz anawanyima usingizi cdm. Babu aje aseme hapa haraka...
 
Hoja zote dhaifu, kila mpishi mzuri siku moja huunga chumvi nyingi, barabara ndefu haikosi kona, mwanamke mzuri hakosi kasoro...hivi hizi si methali za kiswahili? Kwani Mwigulu akiwa Bogas inatisha nini maana Udsm hiyo hiyo imetoa majembe mengine mnayajua yaliko wala si ya kuuliza...ukweli ni kwamba kwa first class ya Mwigulu...kwa Udsm hiyo ni barabara ndefu haikosi kona jamani...! Weekend nawahi kufuturu mie swaumu kali!
 
na asipoomba chuo kimshitaki maana huwezi kuchafua image ya chuo chenye heshima kama Udsm halafu ukaachwa hivihivi

Na kama Chuo hicho hakiwezi kutafsiri nini maana ya alichosema Slaa kwamba nao wanatafsiri kama [MENTION=23639]Kilombero yetu, basi hakina hadhi ya kuendelea kuitwa chuo kikuu au ni kweli Mwigulu alifaulu kwa viwango sahihi vya hapo.
 
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa,
swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

KWA ZAIDI TEMBELEA WWW.JKWETU.BLOGSPOT.COM

We nawe pimbi tu mara zitto mara udsm kaa utulie
 
Huyo Prof. aje apost mwenyewe JF au aite press conference hayo anayoyasema huko mitaani, siyo kutuma wajingawajinga kama wewe JF. Mwenye mamlaka ya kuisemea UDSM in Profesa Mukandara ambaye ni Vice Chancellor and not otherwise. Hilo jina la huyo Prof. sijawahi kuiona kwenye management hierarchy ya UDSM wewe umemtoa wapi? Je ni msemaje wa UDSM?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom