Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.
PROF: LWEIKOSA amesema amepitia kwa ujumla majibu ya dk slaa akijibu hoja ya bwana Mwigulu juu ya red brigate, na kuona kuwa si kwamba dk slaa hajui ndugu Mwigulu amesoma wapi na kupata daraja la kwanza la hasha anajua fika na kama hakujua basi anatatizo.

kujua kwake kunathibitisha kuwa hakuwa na dhamira njema juu ya udsm na ni vema akaja hapa janvini na kufafanua au kuomba radhi juu ya kauli yake hii

"Kuelewa kuwa Kaulinzako zinajikanyaga huhitaji sana kwenda shule kubwa kubwa, unless mnatuambia Chuo Kikuu kilichompa Degree ni hovyo kiasi hicho".

kumekuwa na taarifa nyingi kuwa katibu mkuu huyo amekuwa hampi nafasi naibu katibu mkuu wake bwana Zitto kama msaidizi wa ofisi akihofia Zitto kuchukua nafas yake kwa ufanisi mkubwa.

swali la msingi ni kuwa naibu wako unajua amesoma wapi na amepata DARAJA gani?

Naona umekumbukia jina lako kabla uja hamia upande wa pili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom