Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

Status
Not open for further replies.

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
Kwa matendo anayofanya huyu jamaa ni sawa na kudhalilisha elimu ya UDSM. Kitendo cha kuchana na kutupa bajeti ya mmbadala ya upinzani bungeni, ni dharau tosha kwa msomi mwenzako. (kinyume na code of ethics). Matamshi aliyokuwa anatoa Bungeni, utajua jamaa hajaenda shule au ni USHAMBA NA UMASIKINI aliokulia UMEMUATHIRI KIFIKRA. Kitendo cha kuruhusu wafuasi wake kumvisha Mbwa bandera ya CDM ni udhalilishaji wa ELIMU YA UDSM na Walimu waliomfundisha.
Lakini ukweli ni kwamba VIPANGA wengi wanakosa social skills na hawafiti ktk jamii. Hili jamaa kama inekuwa Ulaya angeitwa "He is danger to himself and society" kwa hiyo angewekwa ktk Hospitali za vichaa
 
udsm kile chuo kimeliharibu hili taifa sana product nyingi za pale ni matatizo
 
hawakumfundisha siasa bali uchumi
ungekuwa na point kama angekuwa amesomea political science
 
acha porojo zako walimu wa UDSM hawako pale kufundisha siasa
labda kwa wale wa political science
nchi hii imejengwa na wengi waliopitia pale

udsm kile chuo kimeliharibu hili taifa sana product nyingi za pale ni matatizo
 
Mwigulu ndio nani jamani. Achen kuwapa watu vichwa. Mshamba yule anaonekana kijana wa kileo hawezi kuwa style zile. Nadhan pia na laana ya mauaji na tindikali inachangia.yule waliyemwekea tindikali kama ingekuwa CDM kweli leo kwa style za mwigulu kingekuwa kimenuka. Leo yupo wapi?
 
Great thinkers, yaani mchemkaji/wachemkaji binafsi ndio kipimo cha uwezo wa taasisi inayompa elimu? Mimi sioni usahihi wa hilo. Walimu waliomfundisha Mwigulu uchumi, ndio hao hao waliomfundisha Zitto kwa mfano. Nyongeza; Mwigulu sio miongoni mwa vipanga wa UDSM (waliopata first classes) katika kumbukumbu za chuo hicho.
 
"Do not translate a sentance by its sound, get the broad meaning" Najua Jamaa hakusoma political science, hata kama alisoma, walimu hawakumfundisha utumbo. Jinsi jamaa anavyofanya mambo yake ni sawa na kuwadhalilisha tuliosoma UDSM. Sawa na mtoto akiwa tundu "waswahili tunasema, anawatia aibu wazazi wake" wazazi hawakumfundisha utundu, same as this dude.
 
Waalimu wa UDSM wanahusika vipi?

Jifunze kumuelewa mtu! Hapo anamaanisha ma-lecturer wa UD wanamfundisha mtu na hatimae mtu kubadilika hadi matendo na siyo kufaulu tuu mitihani !!. Mtu unatakiwa kuwa critical towards occations, then count ten before you decide. Sio kukurupuka na kufanya vitu vyenye ishara tosha ya Emotional and behavioral dis order.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom