Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,848
- 2,669
katika tarifa ya habari ITV, Mwandosya kasema kuwa hakuna nchi nyingine katika Afrika ambayo inapeleka idadi kubwa ya wagonjwa bila kujali hali zao za kiuchumi kama Tanzania. Pia kapongeza zoezi hili...! Na kwamba kuna watu wanabeza zoezi hili.
Maoni yangu
Hii ni akili au matope? Msomi mzima unashangaa kwa nini nchi zingine za kiafrika hazipeleki wagonjwa wake India kwa kasi kama Tanzania. Kama nchi hizo zina miundombinu bora ya afya je? kuna ufahari gani kujivunia katika hili? No free lunches. Bila shaka India inafaidika sana na hili zoezi. Kiukweli Muhimbili wasipotolea hili maelezo tutawadharau sana. Pia Kuna haja ya dhahiri ya kuuondoa huu uongozi wa sasa madarakani.