Mh Muhagama,bungeni akichangia bajeti ya wizara ya kazi

khetewesa

Senior Member
Jul 30, 2012
112
25
Serikali inatarajia kutoa ajira zaidi ya elfu nane mwaka wa fedha 2012/13,je serikali imejipanga kuchukua wataalamu wa ndani?na kwanini wataalam wa ndani hawachukuliwi?anaiomba serikari itoe kazi kwa vijana wakitanzania,tena nafasi za juu kufuatia utaalamu walio nao.
 
Kaongea vitu vinavyo make sense. Labda tu asaidiwe stadi za utoaji hotuba kwa sauti inayofaa kwa usikivu muafaka. Yaani anatoa sauti ambayo ni beyond the pain threshold for human hearing ya zaidi ya 120dBSPL.
Na ileweke wazi kuwa naongelea zaidi intensity (power/area) kuliko loudness, tatizo la mama Anne Kilango na wengineo wachache.
 
Ndiyo lakini ni afadhali kuliko huyo mbabaishaji wa DOm NDU NDU gaaai!! I hate this guy!!
 
Anaongea kwa Saudi kubwa mno hadi anaboa Huyu mama, full kukariri.
 
Back
Top Bottom