Mh. Mramba usikubali

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Mh Mramba, sala zako zimesikika, usikubali hawa mawaziri wezi waliothibitika waachiwe hivihivi wakati wewe

umedharirishwa.


Chukua hatua.
 
unasema amedhalilishwa huyo mwizi mkubwa!

nakutilia shaka! au???!!!
 
Mramba gani huyu aliyeandikwa?....je, ni yule aliyewaambia watz kuwa hata km ni kula nyasi wale lakini lazima rada na ndege ya rais inunuliwe na watz wakala nyasi mpaka mizizi? Au mwingine?.....
Ufafanuzi tafadhari kwani kuna viongozi wametufanyia maudhi mabaya sana.....we rais tumempa ridhaa anatuambia sisi wavivu wa kufikiri kweli?
Jamani si mnaona nilivo na hasira?....mnadhani kura yangu itaenda wapi iwapo uchaguzi wowote utafanyika?
 
Sasa yeye asikubali nn wkt hata sio mbunge, nadhani km enzi zile bunge lingekuwa kali yangemkuta hayahaya kwani alikua mbadhirifu..
 
Kwani KESI yake imekwisha na ameshafungwa huyu fisadi nyangumi.....afungwe akale NYASI na wenzake watamfata
 
Huyo alietuma post mkaskazin huwa hawakubal ukwel huwa huona kama wameonewa mwiz mkubwa Mramba Jk funga huyo!
 
Mramba hawezi kukutwa na hatia kwa sababu sheria ya msamaha ya kodi inampa waziri kutumia discretion wakati wa kutoa misamaha ya kodi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom