Mh. Mnyika mtetezi wa polisi

Biz2geza

Senior Member
Oct 12, 2011
117
20
Katika maswali ya nyongeza ya mh. Mnyika mbunge wa ubungo kwa waziri wa mambo ya ndani kama ifutavyo

1. Polisi walitakiwa kulipwa kiasi cha sh.150,000 kama posho ya kujikimu lakini wanalipwa 100,000 pungufu.kwaninini?
2. Lini polisi watalipwa malimbikizo ya madai yao?
3. Kwanini polisi wanalipwa 80,000 baadala ya 100,000 kwa ajili ya gwaride la uhuru?

Majibu ya naibu waziri yalikuwa ya kisiasa eti myika alitakiwa afanyeuchunguzi kabla ya kuongea sasababu yanachanganisha askari na serikali.na kwa upande mwingine waziri amekiri kuwa askari wamelipwa pungufu watalifanyia kazi.

Mytake.

Yote aliyosema mnyika yana ukweli na ni askari wamemuomba awafikishie ujumbe wao sababu wamejaribu njia za kawaida zimegonga mwamba.kama hivyo viwango vilitakiwa kulipwa na kilicholipwa vingekuwa uongo mnyika angetakiwa kuzibitisha.

Swali kwa polisi kwanini wakati watetezi wenu wanavyodai haki zenu za msingi mnatumiwa na watu ambao hawatetei kwenye maslai yenu kuwapiga mabomu?
 
Kama ni Uongo wangemwambia athibitishe kauli yake, na on the side waziri kakubali kiaina kuwa kuna malipo pungufu.

Polisi mbona hamfungui macho muone nani anaewapora na nani anaewatetea?

Anaekulinda na wewe mlinde sio kumpiga mabomu.
 
Zile kazi za kupiga mabomu wanalipwa per day, ndo mana wanakuwa na mukali sana! Ndo part-time yao
 
Hawa askari wa chini ambao ni wahanga wa ufisadi unaolelewa na JK hawana kosa kuwatwanga risasi za moto watu wanao dai haki zao kwani wanatii amri toka kwa makamanda wao, lakini siku ipo na haiko mbali askari hawa wataamua kuasi na kutotii amri haramu za makamanda wao na kuungana na nguvu ya umma.Wanajua kabisa kuwa wanatii amri haramu kwa sasa lakini utii wao una kikomo na kimesha fika.
 
Katika maswali ya nyongeza ya mh. Mnyika mbunge wa ubungo kwa waziri wa mambo ya ndani kama ifutavyo

1. Polisi walitakiwa kulipwa kiasi cha sh.150,000 kama posho ya kujikimu lakini wanalipwa 100,000 pungufu.kwaninini?
2. Lini polisi watalipwa malimbikizo ya madai yao?
3. Kwanini polisi wanalipwa 80,000 baadala ya 100,000 kwa ajili ya gwaride la uhuru?

Majibu ya naibu waziri yalikuwa ya kisiasa eti myika alitakiwa afanyeuchunguzi kabla ya kuongea sasababu yanachanganisha askari na serikali.na kwa upande mwingine waziri amekiri kuwa askari wamelipwa pungufu watalifanyia kazi.

Mytake.

Yote aliyosema mnyika yana ukweli na ni askari wamemuomba awafikishie ujumbe wao sababu wamejaribu njia za kawaida zimegonga mwamba.kama hivyo viwango vilitakiwa kulipwa na kilicholipwa vingekuwa uongo mnyika angetakiwa kuzibitisha.

Swali kwa polisi kwanini wakati watetezi wenu wanavyodai haki zenu za msingi mnatumiwa na watu ambao hawatetei kwenye maslai yenu kuwapiga mabomu?

miafrika ndivyo ilivyo..by Nyani Ngabu..
 
Back
Top Bottom