Mh Mkosamali safi sana, Machali umeniangusha

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
hawa waheshimiwa wabunge mh Machali na Mkosamali nawafahamu vizuri toka wakiwa SAUT walikuwa watu matata sana na ndiyo waliofungua matawi cdm chuoni,kinachonishangaza siku hizi Machali amebadilika sana amekua mtu asiye na maamuzi na hana msimamo tena,sijui amekua ccm B?
Poa sana mkosamali endelea na msimamo huohuo najua unajua haki zako na za wananchi sijui kwa sababu umesoma sheria? Embu jaribu kumrudisha kundini Machali
 
Acha unafiki eleza ni wapi Machali amekosa msimamo naniwapi mkosamali alipoonyesha msimamo?
tuwe wakweli jana MACHALII ametuangusha sana.KWA MTU KAMA MACHALII ni aibu ila nadhani atajirebisha.
Mkosamali alicheza vyema ila nadhani hawa wabunge wa NCCR wanafanyiana timing ya kuumbuana
 
wec mwanahapa sijui unachotetea ni nini?naombeni sana watanzania na hasa wanaoitakia tanzania mema!hakuna wakati mgumu unaoiface hii nchi kama kipindi hiki cha kuandika katiba mpya!hili suala si la kiushabiki kama mnavyochukulia, hili suala si la itikadi za vyama, hili suala si la mtu mmoja au kundi la wahuni fulani, hili suala ni moyo chi unatengenezwa!iwaapo moyo huu utakuwa na makengeza tutapotea wote, nadhani niishukuru sana kambi ya upinzani kwa kutoa yale yote gizani na kuyaweka mwangani!madhambi mengi, ukiukwaji mkubwa wa sheria na taratibu, nguvu za speaker kuitawala hii process, ushiriki wa zanzibar na upya wa mswada wenyewe unatosha kutujulisha kuwa huu mswada si mwema kwa watanzania, ni HARAKA gani tuliyonayo kukimbiza mambo hivi?ni kigugumizi gani walichonacho na hofu wanayoipata juu ya hili jambo? narudi mwanzo na kukubali kuwa ni kweli serikali hawana nia njema ya kuandika katiba mpya kwa content bali kwa mwonekano wa nje tu na haya yalidhiirishiwa na AG bwana Werema na wa ubavu wake Kombani waliodiriki kuwasemea watanzania milioni 40 kuwa watanzania hawaitaji katiba!
.
Mwanahapa ACHA USHABIKI WA KIPUUZI, HUU NI WAKATI WA KUUNGANA,ALICHOKIFANYA MACHALI NI KITENDO CHA AJABU, KUTOKA NJE KWA CHADEMA NA 50% YA NCCR MAGEUZI NI KUONESHA KUWA HAWAKUBALIANI NA MUSWADA ULIOLETWA BUNGENI YEYE KUBAIKI MEANS ANAKUBALIANA NA HAYO?TUNAMLINK NA MENGI TOKEA HAPA JUZI KATI MANENO MENGI YANAPITA JUU YA MSIMAMO WAKE WA SIKU HIZI!TUNAJUA NYOTE MLIKUWA SAUT SAWA LAKINI UKWELI TUUONGELEE!YEYE BADO KIJANA NA WENGI WANATEGEMEA MENGI TOKA KWAKE ILA MSIMAMO WAKE UNAANZA KUTIA MASHAKA.
 
Ok nimekupata, na nimekuelewa vizuri the main post ilikuwa haieleweki, haionyeshi wazi anayelalamikiwa amekosea nini ndio maana nikatuma hiyo post so hakuna haja ya kutukana kwani si busara nchi hii ni yetu wote na ninaamini wate tungependa mabadiliko chanya yatokee katika nchi yetu.
 
kwani mnabishania nini wadau?
hizo si ndo siasa? kila mwanasiasa anaangalia maslahi yake kabla ya maslahi ya Taifa, ndo walichokifanya hao akina Machali mi sishangai, politics is a dirty game, u play dirty to survive, period!
 
Mwana hapa umetumwa na MKOSA MALI ili uje kumtengenezea jina, kwani ikumbukwe Machali anasoma alama za nyakati ule ulikuwa ni msimamo wa chadema na sio wa upinzani that why Tundu alisema kambi rasmi. umezungumzia kufungua matawi ya cdm pasipo kujua kuwa that time walikuwa huko. saizi wapo NCCR kwa taarifa yako, rudisha pay uliyo pewa yakumsafisha
 
tuacheni ushabiki wa kijinga! Baada ya kutoka mjadala uliendelea?.ok mmefurahi nao wamepata cha kuandikwa leo.swali tija iko wp! Kwani wangebaki wakaendele.mi sikubaliani na tabia ya kususa.na machali ana siasa hali si mnafiki na msaka noti na umaarufu km wengine.mkosamali hana msimamo ni mtu wakuburuzwa tu uliona alitoka wa mwisho baada ya kuona vinara wk wametoka
 
mi wito wng tusiwe mashabiki ndani ya nchi yetu,tuwe wananchi kamili, na tufikiri bila kuburuzwa ccm makosa yao tusema na wngn wakikosa tusema ili tuwasaidie wajue ata wao wakikosa kuna watu wa kuhoji si kuwa ma yes man
 
Ok nimekupata, na nimekuelewa vizuri the main post ilikuwa haieleweki, haionyeshi wazi anayelalamikiwa amekosea nini ndio maana nikatuma hiyo post so hakuna haja ya kutukana kwani si busara nchi hii ni yetu wote na ninaamini wate tungependa mabadiliko chanya yatokee katika nchi yetu.usijali mwanahapa hizo ndy watanzaoia hao.mi nakukubali ata kusubuti kuchukua fomu ya udiwani m
 
tuwe wakweli jana MACHALII ametuangusha sana.KWA MTU KAMA MACHALII ni aibu ila nadhani atajirebisha.
Mkosamali alicheza vyema ila nadhani hawa wabunge wa NCCR wanafanyiana timing ya kuumbuana
alichokosea mleta mada na wewe unakirudia hicho hicho. onesha ubora na ubovu wa mkosamali na machali respectively, acha blabla
 
POLITCS=Who gets what,when and how!
Movie hiyo ikiisha kuna nyingine au ndo mwisho?
 
kazi ipo.Hivi wabunge wazalendo wa CCM wametoka kama walivyofanya CHADEMA?Kama ni hivyo hongereni sana,bila shaka watakuwa ni wale ambao wametangaza kutokugombea 2015
 
MACHALI apinga kwa nguvu zake zote huku akizomewa na wabunge wa ccm nahisi yuko sahihi kutosusia kikao maana asingetoa hisia zake za moyoni
 
alichofanya mkosamali ni sawa na walichofanya waliotoka nje ni sawa pia,.wote wamefikisha ujumbe wa kuupinga mswaada,.divide and rule haitatusaidia kipindi kama hiki.
 
dah,machali umenifurahisha sana leo,sasa we ndo machali ninaekujua ccm wamekukoma leo.kumbe ulikua unawasupport cdm kwa roho kumbe kimwili hukuwasapoti.poa sana sasa nimekuelewa ulichokihitaji so ka vipi usiingie kwenye mjadala wa katiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom