Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Kama kawaida naona tutakuwa tunaendeleza blah blah zetu wakati haya mambo yanataka ushahidi mzuri kisheriaTanzania inategemea general international law inayosema kwamba nchi mbili zinazopakana na water body zita-share hiyo body na mpaka utakuwa katikati ya water body husika. Malawi wanajibu wanasema sheria hiyo inatumika kusipokuwa na treaty, hivyo kwa Ziwa Nyasa kwa kuwa kuna hiyo treaty sheria ya kimataifa hai-apply. Sijui Tz tuna argument gani zaidi?