Mh Mbowe tunakuamini wana Hai

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Tunaamini unaweza,nakumbuka ulitutafutia vijana ajira kwenye kiwanda cha TPC mwaka 2000 wengi tulinufaika nazo ingawa ni wachache.Tunaomba tuwe na kiwanda chetu hapa wiliyani, hatakwakupitia kwa wahisani.Hili lingesaidia sana kutupatia ajira,nakupunguza tatizo la ajira kwa sisi vijana.Ukihitaji mawazo ya aina gani ya kiwanda kinafaa hai tuone sisi vijana tutakupa mawazo.AHSANTE
 
Back
Top Bottom