Mh. Mbowe mgeni rasmi katika mahafali ya chuo afya Machame!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Nimepata taarifa hii sasa hivi.kwa wale mlioko machame mnaweza kutupa updates!
 
***&&&^^^%%%$$$#$#$^&&*&*zako.......................mbona hueleweki?....fafanua tafadhari!
 
Kwa sasa anawahutubia vijana wanaomaliza masomo yao ya utabibu na uuguzi.
 
Kumbe habari kamili unazo ila mpaka tuwe km tunakutukana ndo unasema ukweli wako......wewe unatakiwa upelekwe kwenye zile mashine(akina lema baada ya kuswekwa kule wanasema zipo na kila siku zinatumika ) za kutesea wafungwa ili aseme ukweli wa jambo fulani....hebu kuwa muwazi bana ili wengine wachangie...la sivyo ungetumia ujumbe wa simu kuwataarifu wanaojua suali zima.......

kwa sasa anawahutubia vijana wanaomaliza masomo yao ya utabibu na uuguzi.
 
Kumbe habari kamili unazo ila mpaka tuwe km tunakutukana ndo unasema ukweli wako......wewe unatakiwa upelekwe kwenye zile mashine(akina lema baada ya kuswekwa kule wanasema zipo na kila siku zinatumika ) za kutesea wafungwa ili aseme ukweli wa jambo fulani....hebu kuwa muwazi bana ili wengine wachangie...la sivyo ungetumia ujumbe wa simu kuwataarifu wanaojua suali zima.......
hizo 'mashine' huwa nazitumia kwa watu wa aina yako!endelea kufuatafuata watu usiowafahamu.Kwa ufupi ninaendelea kutafuta info zaidi.
 
hizo 'mashine' huwa nazitumia kwa watu wa aina yako!endelea kufuatafuata watu usiowafahamu.Kwa ufupi ninaendelea kutafuta info zaidi.

Jile79 - hapo pekundu ni hatari kwa afya yako - ni bora ukapunguza jazba unapoandika.
 
Chanzo changu kinaniambia Mbowe amechangia Tsh milioni 10 na kutoa ahadi ya gari la wagonjwa(ambulance)
 
Mimi naona jaziba siyo ishu kabisa wandugu,na kama yupo m2 mwenye kujua kinachoendelea bila shaka akaribie na a2juze mambo yanayojiri hapo Machame.
 
na bado ipo siku ataombwa kuwa mgeni rasmi kamati kuu ya ccm..kichwa kinakubalika kile asikwambie mtu.
 
Back
Top Bottom