Mh Mbowe fanya usajili wa Ester Bulaya katika timu yako

Hiyu dada mbunge siku hizi nimeanza kumuelewa.
Namsikiliza hata hoja zake bungeni zinamashiko na zakizalendo sana. Keep it up dada yangu.
 
Zipo threads nyingi sana za huyu msichana ungeweza kupeleka mtazamo wako huko. Kumwanzishia thread kwa contents za nana hii ni matumizi mabaya ya jamvi. Jirekebishe
 
Mkuu umechelewa sana kumkubali huyu dada. Yuko smart sana na anajua nini anataka. Imagine ni mbunge wa kuteuliwa lakini amekuwa mkweli mara zote. 2015 jimboni kwetu Bunda akigombea mm kama mwana CDM nitampa kura yangu ya ndiyo period
 
Hilo ndo tatizo lako we mzee, ukweli hutaki usemwe hasa kuhusu wapinzani wako na mnapoharibu ndani ya CDM. Kalagabaho na ugulagula wako. Vijana weshaanza kujitambua, itakuwa kwenu cku c nyingi
 
Hawezi kupata ubunge wa Bunda hata kwa Magleda.
Kwanza ameacha ile tabia ya kusagwa na Mdee na Shyrose?
 
Hilo ndo tatizo lako we mzee, ukweli hutaki usemwe hasa kuhusu wapinzani wako na mnapoharibu ndani ya CDM. Kalagabaho na ugulagula wako. Vijana weshaanza kujitambua, itakuwa kwenu cku c nyingi

Mkuu kama hutumii kiungo kingine kwenye mwili wako kufikiri mbali na ubongo unaweza kuonyesha ni wapi nimempinga Esther?
 
kwa tunaomjua toka tuko wote morogoro kilakala- makaburini enzi baba yake kanali bulaya kua ni jasiri sishangai japo amenitangulia kidogo namfahamu unajua mfumo wa nchi hii hasa watoto wa wakubwa anamalezi ya ukada fatilia hoja zake halafu anamalizia vipi kwa kuja cdm huyu apana napinga kwa nimjuavyo mimi niliyekua nae labda abadilike mbeleni cdm inamisingi yake hana huyu si kubeba ovyo atatusumbua mbeleni abaki huko huko magambani
 
Namkubali sana huyu dada ndie anaemnyima usingizi Wassira.!!
 
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.

CDM tunahitaji vijana wazalendo kwa nchi siyo wamama wanaotafuta maisha kwa kutaka madaraka
 
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.

Labda ni vile kajoin kundi lisilolingana na mtazamo wake! Atachoka tu
 
Hilo ndo tatizo lako we mzee, ukweli hutaki usemwe hasa kuhusu wapinzani wako na mnapoharibu ndani ya CDM. Kalagabaho na ugulagula wako. Vijana weshaanza kujitambua, itakuwa kwenu cku c nyingi

kweli watu wengne si tu wana mawazo mgando hayo ni mawazo kondefu yenye kifaduro au kwashakoo. mtu akifanya vzur apewe sifa zake si lazima awe CDM tuache kuvaa kanzu ya uchama.tunaukataa uvyama maana ndo umetufikisha hapa.kama mtu anafanya vzur hata kamA ni CCM apewe sifa mbona kuna wabunge CDM wabovu
 
Kwa hiyo mbunge wa ccm akifanya vizuri lazima atoke ccm na kujiunga na upinzani siyo? hawezi kufanya vizuri na kuendelea kuwa mbunge wa ccm ili hata wale wasio fanya vizuri nao waweze kufanya vizuri?

Kama huelewi pole ila kwa taarifa tu, NURU NA GIZA KAMWE HAVICHANGANYIKI
 
Mkuu umechelewa sana kumkubali huyu dada. Yuko smart sana na anajua nini anataka. Imagine ni mbunge wa kuteuliwa lakini amekuwa mkweli mara zote. 2015 jimboni kwetu Bunda akigombea mm kama mwana CDM nitampa kura yangu ya ndiyo period
Tusidanganyane. Mtu mkweli anafanya nini CCM. Huyu ni mmoja wa walioshitushwa na kukubalika kwa CDM ndani ya siku za karibuni. To cut it short, she is just an opportunist.
 
Back
Top Bottom