Mh Mbowe fanya usajili wa Ester Bulaya katika timu yako

Ulukolokwitanga, nina mtazamazo tofauti kabisa na wako. Nimeskiliza huyu dada na sikuona 'substance' yoyote zaidi ya kuongea kwa 'hisia' au niseme usanii. She really needs to seat down na kusoma kidogo ili huko mbeleni awe na kitu/issue ya kuongea. Nadhani unaweza kuwa umevutiwa na style rather than the contents!
Mkuu ukifuatilia wabunge wengi huwa wanakuwa na hoja lakini wanaiongelea kwa juu juu bila substance. Huyu dada alijikita katika kuangalia matumizi yaliyoombwa mwaka huu na kulinganisha na kifungu kule kile kwa mwaka uliopita na utekelezaji wake. Nadhani hapo ndio unapata platform ya kujadili bajeti.
 
Kwa hiyo mbunge wa ccm akifanya vizuri lazima atoke ccm na kujiunga na upinzani siyo? hawezi kufanya vizuri na kuendelea kuwa mbunge wa ccm ili hata wale wasio fanya vizuri nao waweze kufanya vizuri?

Huwezi kuwa mtu hai ndani ya wafu!
Can you??!
 
Ukiringanisha mambo anayofanya Ester pamoja na elimu aliyonayo huyu dada ni jembe sana ila yuko njia potofu,wabunge wengine wa magamba wanaowakilisha mkoa wa mara ni sifuri kabisa.Angalia Dr stephen Kebwe wa serengeti -hamna kitu anachofanya kabisa
 
Huyu dada ameichambua bajeti kisayansi na kisomi, kapitia vipengele na kuainisha mapungufu, kaangalia utekelezaji wa bajeti iliyopita kalinganusha na iliyoombwa!! Huyu dada ni jembe, sijui nani alimuingiza mkenge kuleta vurugu pale Igunga, atakusaidia sana Mh Mbowe katika utekelezaji wa M4C hebu angalia uwezekano wa kumvalisha Gwanda. Kasi yake haiendani na serikali goigoi ya CCM.[/QUOT

Naungana na wewe wakati anachangia hoja nilitiwa wivu mno jinsi dada huyo alivyosheheni maakili kichwani, najaribu kulinganisha kati yake na mwingulu nchemba mzee wa pumba nani anapaswa kuwa mchumi wa daraja A, kwa kweli huyo mh. jembe angetufaa sana , ingekuwa ni mchezaji ni viwango vya akina Ronaldo au Messi
 
NIMELIPOKEA KWA MIKONO MIWILI, NAKUAHIDI KULIFIKISHA MEZA KUU KWA UTATUZI..Tutafutie wengine, itakuwa kazi yako hiyo..sawa jembe
 
Kumpata Bulaya ni SIMPLE sana,
Bulaya "hageuzi" mbele ya Halima Mdee, so ni kiasi cha kusema nae Mdee tu, kesho Bulaya huyu hapa!!
 
Nimeipenda hii'' Na wale wabunge wa Chadema wasio changia chochote bungeni waende CCM! naona imekaa ki mjadala zaidi safi sana!

Mkuu umekurupushwa na Uamsho nini naona unaongeza nguvu kwa vijana wa lumumba karibu sana!Angalia usijelishwa tango pori
 
Rukieni hoja zake mzifanye zenu, si ndivyo mlivyozowea.
Magamba bana yanaboa, ishu sio hoja ni akili. Yaani huyu dada ameonesha ana akili kidogo ukilinganisha na magamba wengine. Akiingia M4C anaongezewa vitu kidogo tu anakuwa jembe kamili. Watu kama Mwigulu au Lusinde hata uwapeleke Harvard hakuna utakachopata kwa kuwa akili zao zimedumaa
 
Kumpata Bulaya ni SIMPLE sana,
Bulaya "hageuzi" mbele ya Halima Mdee, so ni kiasi cha kusema nae Mdee tu, kesho Bulaya huyu hapa!!
"Hageuzi" hapo mkuu Shark ufafanuzi unahitajika maana watu tunaweza kuwafikiria hawa waheshimiwa vibaya
 
Kumpata Bulaya ni SIMPLE sana,
Bulaya "hageuzi" mbele ya Halima Mdee, so ni kiasi cha kusema nae Mdee tu, kesho Bulaya huyu hapa!!
"Hageuzi" hapo mkuu Shark ufafanuzi unahitajika maana watu tunaweza kuwafikiria hawa waheshimiwa vibaya
 
Kumpata Bulaya ni SIMPLE sana,
Bulaya "hageuzi" mbele ya Halima Mdee, so ni kiasi cha kusema nae Mdee tu, kesho Bulaya huyu hapa!!

Ni nani hageuzi kwa nani. I thought, Halima Mdee, ndo hageuzi kwa Esther Bulaya!
 
Kumpata Bulaya ni SIMPLE sana,
Bulaya "hageuzi" mbele ya Halima Mdee, so ni kiasi cha kusema nae Mdee tu, kesho Bulaya huyu hapa!!

...thus,the truth men!uliza wanaoishi karibu nao!hutaki unaacha!
 
Back
Top Bottom