NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
Chadema inarudi kwa wananchi, kuntukumu wa kikwere kisha saini muswaada wa sheria ya katiba
hahahahahahahaaaaaaaaaaa! KUNTUKHUMU!? You made my day Bujibuji!
Chadema inarudi kwa wananchi, kuntukumu wa kikwere kisha saini muswaada wa sheria ya katiba
Chadema hawana la kufanya kwa sasa inawabidi kuwa wapole tu maana makosa walifanya toka mwanzo... Sasa wakubali kupakatwa tu hawana jinsi.
Kwani aliyempakata mwenzake hapa ni nani? Kwani ktk ilani ya ccm hawakuwa na mpango wa kubadili katiba ila chadema wamelikomalia wamefanya kuibadili mpaka hapo huoni ccm wamepakatwa kimshazari?
Kwani aliyempakata mwenzake hapa ni nani? Kwani ktk ilani ya ccm hawakuwa na mpango wa kubadili katiba ila chadema wamelikomalia wamefanya kuibadili mpaka hapo huoni ccm wamepakatwa kimshazari?
Mh. Freeman Mbowe ambae ni mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Amesema kuwa pamoja na mambo mengi walioishauri serikali hawana mamlaka ya kumzui Rais kutosai muswada uliopo mezani kwake hivi sasa ila walimtaka atumie kifungu cha (97)2 kutokana na mapungufu mengi katika muswada huo! Pia serikali aliwaahidi kuyafanyia mabadiliko na mapendekezo yao kwenye kikao kijacho January 31, Aidha Mh. Mbowe anaweka wazi kuwa wakiyafanyia kazi mapendekezo yao hao wako tayari kushiriki katika utungwaji wa katiba mpya na wakiyapuuza hawana namna tena nikurudi kwa waamuzi wakuu wananchi.
waliokuwa na sera ya katiba mpya ni cuf toka awali na walishaandika wanayoipendekeza, magwanda wamerukia njiani tu, na kama uonavyo, magwanda hawana jipya, maandamani walianzisha cuf, kususa walianzisha cuf, cuf walisusa kabisa kuingi baraza la wawakilishi na walikuwa hawachukuwi posho wala mishahara. Umesaau, hawa magwanda hawana jipya, na mpaka la kuonana na rais, cuf walianza na ikawasaidia sana, magwanda nayo hii imewasaidia sana kisiasa. Hawana jipya.
Chadema hawana la kufanya kwa sasa inawabidi kuwa wapole tu maana makosa walifanya toka mwanzo... Sasa wakubali kupakatwa tu hawana jinsi.
Mlitegemea jipya kwani, tushikamane jamani tujenge taifa, je tufanye nini ili tujikite kwenye kufanya kazi na kuwajibika ipasavyo na kuacha kabisa blabla na kusogoa maofisini?
Tufanyenini ili kuhakikisha wezi, hasa huko mawizarani wanapewa adhabu kali hata ikiwezekana iwe ya kifo kwa uwapiga mawe na kuwachoma moto kama tufanyavyo kwa vibaka; na tufanye nini ili kila mmoja wetu atii sheria na kutumia madaraka yake kwa faida ya wananchi? Tufanye nini ili kila mmoja wetu atimize wajibu wake bila kusukumwa au kukumbushwa?
Ndugu zangu ni rahisi sana kuwalaumu viongozi wa CHADEMA kwa hili, lakini kumbuka kwamba magamba wamefunga kila njia halali za kuipata katiba mpya iliyo halali, Magamba wako tayari kuua kuhakikisha katiba halali haipatikani. Kwa mfano mkitoa tarifa ya kuandamana kudaia katiba halalii, polisi watawaambia UWT na UVccm wametangulia kutoa taarifa ya kundamana tarehe, root, na muda huo huo munaotaka kuandamana hivyo hawataruhusu kuepusha vurugu. Mara watawaambia haiwezekani kwasababu ya tishio la Alshababu! Viongozi wa CHADEMA wakituambia tuandamane kinguvunguvi kwa sababu ni haki yetu kikatiba, ndo hizo kesi za kufikilika zinafunguliwa dhidi yao. Wao Magamba wanaendelea kupeta kuifisadi nchi kwa "kuthubutu kuweza na kuendele." Ninaamini walichokifanya Mbowe na safu yake ni mkakati wa kuwafikilisha ccm kuwa CHADEMA hawachoki kudai haki za Watanzania.
Ama kweli siasa ni mchezo mchafu,sioni nini walichoenda kufanya ikulu na mswada ukasainiwa while walituambia wanaenda kumshinikiza Rais asi saini mswada na asipoelewa maandamano nchi nzima,hayo ndio matok,IMANI IMETOWEKA NA HAO CDM!
It is not looser. It is loser. Hater!looser!!
Hapana bibie wakati CUF inawakilisha wazo la katiba mpya CUF na Chadema walikuwa chama kimoja (Partners) na mgombea urais alikuwa Lipumba tu. Vitu vyote hivyo walikuwa pamoja chini ya uongozi wa Lipumba..Kilichowageuza wao na kubadilika ndio tunashindwa kuelewa leo wako na CCM..Na walipinga katiba mpya bungeni mapema mwaka huu kama walivyopinga CCM isipokuwa JK ndio kawatoa nishai, leo hii katiba ni ya CCM na CUF..Waliokuwa na sera ya katiba mpya ni CUF toka awali na walishaandika wanayoipendekeza, magwanda wamerukia njiani tu, na kama uonavyo, magwanda hawana jipya, maandamani walianzisha CUF, kususa walianzisha CUF, CUF walisusa kabisa kuingi baraza la wawakilishi na walikuwa hawachukuwi posho wala mishahara. Umesaau, hawa magwanda hawana jipya, na mpaka la kuonana na Rais, CUF walianza na ikawasaidia sana, magwanda nayo hii imewasaidia sana kisiasa. Hawana jipya.
Bibie,Waliokuwa na sera ya katiba mpya ni CUF toka awali na walishaandika wanayoipendekeza, magwanda wamerukia njiani tu, na kama uonavyo, magwanda hawana jipya, maandamani walianzisha CUF, kususa walianzisha CUF, CUF walisusa kabisa kuingi baraza la wawakilishi na walikuwa hawachukuwi posho wala mishahara. Umesaau, hawa magwanda hawana jipya, na mpaka la kuonana na Rais, CUF walianza na ikawasaidia sana, magwanda nayo hii imewasaidia sana kisiasa. Hawana jipya.